Msakaa Jr
JF-Expert Member
- May 18, 2017
- 7,450
- 7,928
Una picha yake mkuuHao panya nawajua n vipofu hawaoni Yani wanatembelea viambaza namaqnisha kingo za ukuta
Sent using Jamii Forums mobile app
Una picha yake mkuuHao panya nawajua n vipofu hawaoni Yani wanatembelea viambaza namaqnisha kingo za ukuta
HahahahahaBora hao gheto kulikua na panya mmoja huyo alinisumbua sana ilifika hatua nikichelewa kurudi anawasha jiko anajipikia
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Mkija mikoani tafadhali msije kubeba vipanya kwny mabegi yenu mkatuletea balaa...
Kwamba wametokea China mkuuPanya wa kichina hao walinzi wa maghala
Mkuu,Umuofia kwenu, kwa takribani miezi minne sasa nilishuhudia mbegu mpya kabisa ya panya nyumbani kwangu.
DuhNa kupita kabisa, mbaya kuliko wanazaliana kama utitiri yani
Wauzaji karibu wote wa sumu na mitego ya panya wanakuwa na hiyo gundi..Wakuu kama kuna mtu anafahamu ile gundi maalum ipo kwenye tube kama ya baiskeli naomba aniambie
Hahahahaha...kwa mujibu wa vijiwe vya gahawa
watu mliozaliwa mijini mnakosa mengi sana. sisi wengine tuliishi na mapanya nyumbani mnafukuzana nayo balaa, mengi tu kwasababu kwa bibi nyumba ni hiyo hiyo na sehemu ya kuwekea mazao ni hiyohiyo mumo kwa mumo.Umuofia kwenu, kwa takribani miezi minne sasa nilishuhudia mbegu mpya kabisa ya panya nyumbani kwangu.
Panya hao wana muonekano tofauti na hawa wetu na cha ajabu kabisa wanawawinda panya wale wa asili na kuwaua kabisa.
Mdomo wao ni mrefu kama nguruwe hivi,
Na ajabu yao pia hawa panya hata paka hawali, ukiwategea sumu hawali ,
Wana mwili ambao una mijongeo ya ajabu ,nasemea hili kwa sababu panya hawa hata pawe na tundu dogo kiasi gani atajiminya
Na kupita kabisa, mbaya kuliko wanazaliana kama utitiri yani
Nimetumia Indocid yani naona kama ilikua cow bell kwao ,nikatumia masumu ya mitaani mpaka madukani bila bila,
Nikajitahidi kuzidisha usafi na kutokuacha uchafu kwa namna yoyote hapo wakaanza kula gypsum sasa ,
Wakuu kama kuna mtu anafahamu ile gundi maalum ipo kwenye tube kama ya baiskeli naomba aniambie
Ntaipata wapi mana najua ile kidogo ni suluhisho nje ya hapo sijui na panya hawa sijafanikiwa kupata picha ila usiombee🥹🥹🥹
huyo ni panya wa kawaida kabisa, kwa walioishi vijijini wanamjua, na chakula chake huwa ananyonya damu ya panya wenzake. ukimpiga au akihisi hofu huwa analia chwiii chwiii, halii kama panya wa kawaida, ni aina yake na ni kiumbe cha Mungu cha kawaida kabisa, tumeisho tukiviona mno.Na wanaangua kicheko kama binadamu! Hiyo ni mizimu imekuja kwa sura ya panya! Sasa kuna vindege vidogo vya kijani na vyekundu navyo ni shida
Si ndo hiyo sijui wanacheka au wanalia? Panya gani hao!! Ni laana! Walikujaga kwangu nikawa mawavizia wakiingia kwenye pazia la dirisha wakidhani wamejificha nikambonda mmoja kwa kiatu na kumuua! Walikimbia wote ni zaidi ya mwaka sijawahi kuwaona tena! Hao panya huwezi kuwatega kwa mbinu zozote za binadamu! Ni mashetanihuyo ni panya wa kawaida kabisa, kwa walioishi vijijini wanamjua, na chakula chake huwa ananyonya damu ya panya wenzake. ukimpiga au akihisi hofu huwa analia chwiii chwiii, halii kama panya wa kawaida, ni aina yake na ni kiumbe cha Mungu cha kawaida kabisa, tumeisho tukiviona mno.
Wana midomo mirefu kama bundukiMkuu,
Upo mkoa gani?
Duh
Wauzaji karibu wote wa sumu za panya na mitego yake wanakuwa na hiyo gundi..
Em tupia picha tuwaone hao panya wa kibabe basi
ni panya ambao wapo sana mashambani huko, chakula chake ni panya wenzake na huwa wananuka, wanatoa harufu mbaya hao. wala sio mashetani wala chochote, mashambani wakati tunalima huwa tunawaona, nilivyoishi kijijini nawafahamu ni panya wa kawaida. shida ninyi wa mjini mnaona kitu cha ajabu.Si ndo hiyo sijui wanacheka au wanalia? Panya gani hao!! Ni laana!