Hawa nyoka sasa wamezidi mpaka ndani sasa.

Hawa nyoka sasa wamezidi mpaka ndani sasa.

Maisha bana..hii picha nimeiona kule Quora leo jamaa akishare kuhusu nyoka aina ya cobra alivyozaa uani kwake ...na jamaa kaipaste hapa kama home kwake ..nafrahi maana ananipunguzia stress...!
Jamaa anaishi bali au sio?hahahaha
 
Moja kati ya viumbe nnavyoviogopa duniani,hata iyo picha sijaiangalia vizuri aseee.Naogopa sana
Sasa kama picha ya nyoka tu unaogopa,je ukimuona huyu hapa.by the way ebu nirushie namba yako inbox nikurushie video flani hivi
 
Sasa kama picha ya nyoka tu unaogopa,je ukimuona huyu hapa.by the way ebu nirushie namba yako inbox nikurushie video flani hivi
Nyoka sio kiumbe cha kukizoea hata kwa dk moja , uwaaaaa mkuu
 
KIJANA huyo ni cobra baba yani huyo akikung'ata sahau kuhusu urithi kuandika kamaa ni hatari jitaidi sana kujiepusha nao jenga hata ukuta au fuga paka sana na kuku njee bila hivyo bila bila tutaonana motoni
Mkuu first option ni moton haya bhana
 
HUYO NYOKA WA KIBISA...NYOKA WA UKWELI HAWI HIVYO
 
Ata kwetu wapo jamani kukiwa tu na kakichaka na miti ni shida navowaogopa siku akiingia ndani namimi nahamia kwa jirani ata kama kidume..
 
Back
Top Bottom