ngopyolo
JF-Expert Member
- Oct 20, 2013
- 1,940
- 1,521
Ccm mna maswali yaajabuajabu vipi 7000 imepunguzwa!?Wengine walishauri wenye tatizo kama lako kuwa wammwagie mafuta ya taa kuzunguka nyumba na maua sijui na miti makwao.
Kuna mengine walishauri humu humu.. subiri watakuambia.
Ila una moyo jamani ninavyoogopa hivyo viumbe uwiiiii.. bado nakushangaa hivyo na kusimama kupiga picha.
Mola anirpushr nisikutane navyo hivyo aiseeee.
Sasa umemfanyaje.. umewahi kabla hajaingia kujificha vyumbani!?
Kwako una ukuta uliozunguka hiyo nyumba?