Hawa nyoka sasa wamezidi mpaka ndani sasa.

Hawa nyoka sasa wamezidi mpaka ndani sasa.

coockie monster

JF-Expert Member
Joined
May 2, 2015
Posts
390
Reaction score
757
main-qimg-daad94ba8da39a3e255bea195926631e-c.jpeg
 
Huyo ana sumu
Muweke mbali na hapo kama unaweza mrudishe kichakani tu
 
Mkuu ni nyoka halisi huyo? Maana nmejarbu kumzoom, kulingana na umbo lake urefu usingekua huo.

BTW hata kama ni dol weka mbali na nyumba.
 
Wengine walishauri wenye tatizo kama lako kuwa wammwagie mafuta ya taa kuzunguka nyumba na maua sijui na miti makwao.

Kuna mengine walishauri humu humu.. subiri watakuambia.

Ila una moyo jamani ninavyoogopa hivyo viumbe uwiiiii.. bado nakushangaa hivyo na kusimama kupiga picha.

Mola anirpushr nisikutane navyo hivyo aiseeee.

Sasa umemfanyaje.. umewahi kabla hajaingia kujificha vyumbani!?

Kwako una ukuta uliozunguka hiyo nyumba?
 
Back
Top Bottom