Hawa niliokutana nao ununio ni Dullah Army?

mwehu ndama

JF-Expert Member
Joined
Nov 12, 2019
Posts
2,390
Reaction score
9,211
Kuna askari fulani nimekutana nao ununio njia ya beach, bila shaka Hawa ni dully army!!. Kwa jinsi walivyo nafikiri ni heri ukutane na ibilisi mtoa roho kuliko kukutana na hiki kikosi kazi cha dogo dully

Jamaa wanaonekana hawana roho nzuri hata kidogoo, na wamejikoki kuliko maelezo .Wanatembea na silaha nzito nzito za kivita, na wanaonekana so attentive to every small details katika mazingira yao.

Hakuna namna jeshi letu mdebwedo linaweza kukabiliana na haya majitu mwitu msitu ndani ya dully army..Pale maeneo ya kimara yalitembeza mjegejo mpaka JWTZ waliruka kwenye gari zao nakutokomea kusiko julikana. Sijui tuyakabili vipi haya majamaa ila ki ukweli yanaonekana hayajaja kucheka na kima na niwazi yanazitaka damu za WaTanganyika.
 
Uandamane upigwe risasi, ukae nyumbani unapigwa risasi hapo hapo kwako. Ni vita ya mwenye silaha na asiyekua na silaha. Yani saivi kifo kipo nyuma yako kinakunyemelea.

Bora nirudi zangu kijijiniiii
 
Walikuwa wangapi? Na walikuwa kwa gari or?
 
Wapo serious na kazi yao.
Damu ya binadamu kwao ni kawaida kuiona.
Ni sawa na mfanyakazi wa kwenye machinjio
 
Uandamane upigwe risasi, ukae nyumbani unapigwa risasi hapo hapo kwako. Ni vita ya mwenye silaha na asiyekua na silaha. Yani saivi kifo kipo nyuma yako kinakunyemelea.

Bora nirudi zangu kijijiniiii
Ukisimama nchale,ukikaa nchale
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom