Jamani wana jf, nimekuwa na wakati mgumu wa kutambua ni mwanamke yupi anaweza kuwa bora katika maisha yangu ya ndoa yajayo.
kwanza nina sifa saba za wanawake saba niliokutana nao kwa lengo la kuanzisha maisha ya ndoa lakini wote niliwashindwa kwa kuwa kila mmoja alikuwa na tabia ya aina yake ilionishinda,
1. mfujaji wa kipato changu.
2. alitaka nitumike kusaidia nduguze tu.
3. hakuwa mwaminifu wala ukwel wowote baina yetu.
4. alikuwa mtoaji wa siri zote za ndani na kuamin mambo ya nje kuliko ya ndani.