Wanafanana...ila nyuso zao zipo ktk gestures tofauti...kama wote wangelikuwa wamesmile kwa pamoja au wametulia bila gestures yoyote tungeona vzr zaid kufanana kwao.
Rule number 1: Identical Twins wanakuwa SAME SEX kwasababu wanatoka kwenye yai moja ambalo limejigawa. Na wanafanana.
Fraternal Twins wasiofanana hawa wanatoka kwenye mayai mawili tofauti na hawa huwa mara hawafanani na mara nyingi ni jinsia tofauti.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.