Hawa ni HESLB kweli au matapeli tu

mwanakijiji lugusi

Senior Member
Apr 13, 2016
128
96
Jaman Leo nimepigiwa simu na MTU akijitambulisha kuwa ni mfanyakazi Wa bodi eti Leo jumapili ndio wanagonga mihuri na kuzipitisha fomu za mkopo ila wamegundua kuna mapungufu sikuweka matokeo ya six na ni kweli nilipokuwa natuma fomu bodi result slip zilikuwa hazijatoka hivyo ameomba nizitume ila kabla sijazituma nimtumie hela ya maji ili kwa kuwa wanafanya kazi siku ya jumapili kutupitishia fomu.

JE HAWA NI MATAPELI AU NISAIDIEN JAMANI

Namba zilizonipigia ni 0745248574
 
Usitume


Yawezekana kweli ni mtumishi wa bodi ya mikopo na kaona mapungufu kwenye form zako za maombi ya mkopo. Unaweza Tuma na mwisho wa siku asikusaidie chochote kwani yy ni mgonga mihuri tu hapo masijara. Mwachie Mwenyezi Mungu atafanya miujiza na mambo yatakaa
 
Back
Top Bottom