Hawa alibaba ni wa kweli au matapeli?

toplemon

toplemon

JF-Expert Member
Joined
Mar 26, 2017
Messages
1,522
Likes
678
Points
280
toplemon

toplemon

JF-Expert Member
Joined Mar 26, 2017
1,522 678 280
Wasalam wakuu
Kumekua na faida chungu mzima za kununua bidhaa mtandaoni hususan eBay,Amazon,aliexpress, na wengineo
Leo naomba nije na maswali kuhusu hawa alibaba
Kiukweli mimi nina uzoefu na aliexpress mno sasa nimekutana na hawa alibaba wana vitu cheap mno!
Mfano nimekutana cell phone mpaka za dola 6 tu
Nimeona pia bidhaa za rejareja humo ijapo most of companies kule wanauza za jumla
Vitu ni cheap yaan mpaka nimeshangaa
Sasa wakuu hawa jamaa ni waaminifu??
Malipo yao unawalipaje?
Vipi wanatuma bidhaa kweli?
Wanatumia njia gani kutuma mizigo??
Wanazo tracking number
Vipi ikitokea nimetapeliwa pesa zangu?
Bei walizoweka pale ni bei halisi?Au ni waongo wa bei??
Vipi mizigo na kutuma inachukua siku ngapi?
Huu uzi natumai utaelimisha mpaka wasiojua wajifunze
karibuni,,,
 
dlnobby

dlnobby

JF-Expert Member
Joined
Jul 30, 2014
Messages
2,536
Likes
3,248
Points
280
dlnobby

dlnobby

JF-Expert Member
Joined Jul 30, 2014
2,536 3,248 280
Kama unamjua mtu mmoja anaitwa Jack Ma.....basi maswali yako ya uaminifu utaacha kuuliza
 
Mwl.RCT

Mwl.RCT

Verified Member
Joined
Jul 23, 2013
Messages
7,318
Likes
4,299
Points
280
Mwl.RCT

Mwl.RCT

Verified Member
Joined Jul 23, 2013
7,318 4,299 280
Kiukweli mimi nina uzoefu na aliexpress mno sasa nimekutana na hawa alibaba wana vitu cheap mno!
Alibaba na aliexpress; Pamoja na mfumo wa alipay
- Mmiliki ni mmoja
- Kama umejisajiri aliexpress, Hiyo username na passord ndio utazitimua KU-sign in alibaba

Bei za alibaba zinaonekana kuwa chini kwa sababu
- Ni bei ya bidhaa toka kiwandani, Ni bei ya jumla jumla
- Hakuna ghalama ya usafirisaji iliyowekwa

Ukitaka upate bei halisi ya bidhaa kwa alibaba fuata hatua hizi
- Fanya mawasiliano na seller
- Ili akupa CIP price kwa bidhaa unayohitaji.
Sasa wakuu hawa jamaa ni waaminifu??
Ndio ni waaminifu.
Malipo yao unawalipaje?
- Njia ya malipo huwa imeandikwa kwenye bidhaa husika.
- Ila waweza kufanya mazungumzo na seller - Ili itumike njia ya malipo utakayohitaji wewe.
- Kwa mimi huwa nachagua seller wa alibaba wanaokubali kupokea malipo kwa paypal na si vinginevyo.
Vipi wanatuma bidhaa kweli?
Ndio bidhaa wanatuma bila tatizo.
Wanatumia njia gani kutuma mizigo??
Njia ya usafirishaji hutegemea na ukubwa wa order
- Kwa order chache huwa ni kwa njia ya DHL / EMS kutegemea na makubaliano yeno
- Na kwa order kubwa huja kwa njia ya Meli, Na BL unatumiwa mapema ili uanze taratibu za ufuatailiaji mapema
Wanazo tracking number
- Ndio utapewa taarifa zote za mzigo wako.
Vipi ikitokea nimetapeliwa pesa zangu?
- Alibaba ni mahala salama ambapo makampuni yanajitangaza utapeli hakuna
- Pia fedha yako huwa ni salama uwapo utafuta taratibu za amalipo zilizo salama
Angalizo
- Usifanye malipo kwa njia ya moneygram au western union IWAPO MAWASILIANO YAKO NA SELLER ni nje ya mfumo wa mawasiliano wa ALIBABA, pia iwapo ni mara yako ya kwanza kufanya naye biashara huyo seller.
Bei walizoweka pale ni bei halisi?Au ni waongo wa bei??
- Sio bei halisi kwa baadhi ya bidhaa.
- Na ni bei halisi kwa baadhi ya bidhaa.
- Ili kupata bei halisi , CIF, Ni lazima ufanye mawasiliano na selller akupe ghalama hasili ya kukufikishia bidhaa mahala ulipo.
Vipi mizigo na kutuma inachukua siku ngapi?
- Hii hutegemea njia ya usafirishaji itakayotumika
- Kwa meli huwa ni kuanzia wiki 6 na zaidi hii ni kwa mizigo mikubwa, kutegemea mzigo umeshughulikiwa kwa haraka kiasia gani
- Kama itakuws ni njia ya EXPRESS huwa ni siku 7 - 9
na kama itatumika standard shipmend hii huwa ni siku 14 hadi 21
- Ni jukumu lako kujadilianana na seller njia sahihi wewe unayotaka bidhaa zako zisafirishwe.
Huu uzi natumai utaelimisha mpaka wasiojua wajifunze
- Alibaba hapa JF tayari imejadiliwa sana:
Karibu
www.bit.ly/101buy4me
 
Mapensho star

Mapensho star

JF-Expert Member
Joined
Jun 30, 2016
Messages
1,700
Likes
1,322
Points
280
Age
25
Mapensho star

Mapensho star

JF-Expert Member
Joined Jun 30, 2016
1,700 1,322 280
sio bei halisi muulize seller akwambie bei ya usafirishaji utachoka wanaweka bei za kuvutia wateja
lakini mimi naipenda ebay kabla haujanunua bidhaa unaukuwa umeshajua na bei ya usafirishaji na kama seller ana ship kwa nchi yako
wanaojua kuhusu alibaba watusaidie mana mimi naona upo complicated
 
dustless

dustless

JF-Expert Member
Joined
Oct 21, 2016
Messages
801
Likes
697
Points
180
Age
48
dustless

dustless

JF-Expert Member
Joined Oct 21, 2016
801 697 180

Nisaidie namna ya kununua bidhaa online, nahitaji sana ila sina jinsi kabisa. Nipe procedure zote mpaka kuwa mnunuzi rasmi mtandaon ikiwa ni pamoja na bank salama ya kutumia na muuzaji asiye na milolongo mrefu na mgumu kupata bidhaa zake..
 
dustless

dustless

JF-Expert Member
Joined
Oct 21, 2016
Messages
801
Likes
697
Points
180
Age
48
dustless

dustless

JF-Expert Member
Joined Oct 21, 2016
801 697 180
Alibaba na aliexpress; Pamoja na mfumo wa alipay
- Mmiliki ni mmoja
- Kama umejisajiri aliexpress, Hiyo username na passord ndio utazitimua KU-sign in alibaba

Bei za alibaba zinaonekana kuwa chini kwa sababu
- Ni bei ya bidhaa toka kiwandani, Ni bei ya jumla jumla
- Hakuna ghalama ya usafirisaji iliyowekwa

Ukitaka upate bei halisi ya bidhaa kwa alibaba fuata hatua hizi
- Fanya mawasiliano na seller
- Ili akupa CIP price kwa bidhaa unayohitaji.

Ndio ni waaminifu.

- Njia ya malipo huwa imeandikwa kwenye bidhaa husika.
- Ila waweza kufanya mazungumzo na seller - Ili itumike njia ya malipo utakayohitaji wewe.
- Kwa mimi huwa nachagua seller wa alibaba wanaokubali kupokea malipo kwa paypal na si vinginevyo.

Ndio bidhaa wanatuma bila tatizo.

Njia ya usafirishaji hutegemea na ukubwa wa order
- Kwa order chache huwa ni kwa njia ya DHL / EMS kutegemea na makubaliano yeno
- Na kwa order kubwa huja kwa njia ya Meli, Na BL unatumiwa mapema ili uanze taratibu za ufuatailiaji mapema

- Ndio utapewa taarifa zote za mzigo wako.

- Alibaba ni mahala salama ambapo makampuni yanajitangaza utapeli hakuna
- Pia fedha yako huwa ni salama uwapo utafuta taratibu za amalipo zilizo salama
Angalizo
- Usifanye malipo kwa njia ya moneygram au western union IWAPO MAWASILIANO YAKO NA SELLER ni nje ya mfumo wa mawasiliano wa ALIBABA, pia iwapo ni mara yako ya kwanza kufanya naye biashara huyo seller.

- Sio bei halisi kwa baadhi ya bidhaa.
- Na ni bei halisi kwa baadhi ya bidhaa.
- Ili kupata bei halisi , CIF, Ni lazima ufanye mawasiliano na selller akupe ghalama hasili ya kukufikishia bidhaa mahala ulipo.

- Hii hutegemea njia ya usafirishaji itakayotumika
- Kwa meli huwa ni kuanzia wiki 6 na zaidi hii ni kwa mizigo mikubwa, kutegemea mzigo umeshughulikiwa kwa haraka kiasia gani
- Kama itakuws ni njia ya EXPRESS huwa ni siku 7 - 9
na kama itatumika standard shipmend hii huwa ni siku 14 hadi 21
- Ni jukumu lako kujadilianana na seller njia sahihi wewe unayotaka bidhaa zako zisafirishwe.

- Alibaba hapa JF tayari imejadiliwa sana:
Karibu
www.bit.ly/101buy4me
Ni mambo unayotakiwa uyatimize kabla hujawa mnunuzi rasmi wa mitandaoni, na yupi muuzaji salama kwa sisi wageni wa mitandao ili nianzie angalau kasaa kamoja au kasimu cheap kidogo niwape mrejesho baada ya kufanikiwa.
Na kwa uzoefu wako kwa hizo item nilizojaza nawepa kushika mkononi kwa bei gani na muda gani mpaka hapa nilipo Dodoma mjini.
 
C

chuchumeta3

JF-Expert Member
Joined
Sep 1, 2015
Messages
238
Likes
85
Points
45
C

chuchumeta3

JF-Expert Member
Joined Sep 1, 2015
238 85 45

Asante
 
evansGREATDeal

evansGREATDeal

JF-Expert Member
Joined
Jan 4, 2016
Messages
3,930
Likes
2,135
Points
280
evansGREATDeal

evansGREATDeal

JF-Expert Member
Joined Jan 4, 2016
3,930 2,135 280
Mimi huwa muoga wa hizi issues
 
evansGREATDeal

evansGREATDeal

JF-Expert Member
Joined
Jan 4, 2016
Messages
3,930
Likes
2,135
Points
280
evansGREATDeal

evansGREATDeal

JF-Expert Member
Joined Jan 4, 2016
3,930 2,135 280
Huwa nahisi kupigwa pesa zangu za madafu
 
toplemon

toplemon

JF-Expert Member
Joined
Mar 26, 2017
Messages
1,522
Likes
678
Points
280
toplemon

toplemon

JF-Expert Member
Joined Mar 26, 2017
1,522 678 280
Alibaba na aliexpress; Pamoja na mfumo wa alipay
- Mmiliki ni mmoja
- Kama umejisajiri aliexpress, Hiyo username na passord ndio utazitimua KU-sign in alibaba

Bei za alibaba zinaonekana kuwa chini kwa sababu
- Ni bei ya bidhaa toka kiwandani, Ni bei ya jumla jumla
- Hakuna ghalama ya usafirisaji iliyowekwa

Ukitaka upate bei halisi ya bidhaa kwa alibaba fuata hatua hizi
- Fanya mawasiliano na seller
- Ili akupa CIP price kwa bidhaa unayohitaji.

Ndio ni waaminifu.

- Njia ya malipo huwa imeandikwa kwenye bidhaa husika.
- Ila waweza kufanya mazungumzo na seller - Ili itumike njia ya malipo utakayohitaji wewe.
- Kwa mimi huwa nachagua seller wa alibaba wanaokubali kupokea malipo kwa paypal na si vinginevyo.

Ndio bidhaa wanatuma bila tatizo.

Njia ya usafirishaji hutegemea na ukubwa wa order
- Kwa order chache huwa ni kwa njia ya DHL / EMS kutegemea na makubaliano yeno
- Na kwa order kubwa huja kwa njia ya Meli, Na BL unatumiwa mapema ili uanze taratibu za ufuatailiaji mapema

- Ndio utapewa taarifa zote za mzigo wako.

- Alibaba ni mahala salama ambapo makampuni yanajitangaza utapeli hakuna
- Pia fedha yako huwa ni salama uwapo utafuta taratibu za amalipo zilizo salama
Angalizo
- Usifanye malipo kwa njia ya moneygram au western union IWAPO MAWASILIANO YAKO NA SELLER ni nje ya mfumo wa mawasiliano wa ALIBABA, pia iwapo ni mara yako ya kwanza kufanya naye biashara huyo seller.

- Sio bei halisi kwa baadhi ya bidhaa.
- Na ni bei halisi kwa baadhi ya bidhaa.
- Ili kupata bei halisi , CIF, Ni lazima ufanye mawasiliano na selller akupe ghalama hasili ya kukufikishia bidhaa mahala ulipo.

- Hii hutegemea njia ya usafirishaji itakayotumika
- Kwa meli huwa ni kuanzia wiki 6 na zaidi hii ni kwa mizigo mikubwa, kutegemea mzigo umeshughulikiwa kwa haraka kiasia gani
- Kama itakuws ni njia ya EXPRESS huwa ni siku 7 - 9
na kama itatumika standard shipmend hii huwa ni siku 14 hadi 21
- Ni jukumu lako kujadilianana na seller njia sahihi wewe unayotaka bidhaa zako zisafirishwe.

- Alibaba hapa JF tayari imejadiliwa sana:
Karibu
www.bit.ly/101buy4me
Asante sana daah god bless u umenifunza mengi mnoo
Nina tatizo moja tu mkuu mimi natumia card ya equity bank kufanya manunuzi mtandaoni kule aliexpress kuna bidhaa niliagiza hazikufika hivyo nikafanyiwa refund sasa nikiwasiliana na equity naona wananizungusha tu wanadai niwafowadie email ya uthibitisho wa refund wakati kwa utaratibu wa aliexpress ni kuwa refund processing mpaka iwe complete inafanyikia ndani ya mtandao wa aliexpress mkuu plzz huwa unafanyaje kuhusu suala la refund?
 
toplemon

toplemon

JF-Expert Member
Joined
Mar 26, 2017
Messages
1,522
Likes
678
Points
280
toplemon

toplemon

JF-Expert Member
Joined Mar 26, 2017
1,522 678 280
sio bei halisi muulize seller akwambie bei ya usafirishaji utachoka wanaweka bei za kuvutia wateja
lakini mimi naipenda ebay kabla haujanunua bidhaa unaukuwa umeshajua na bei ya usafirishaji na kama seller ana ship kwa nchi yako
wanaojua kuhusu alibaba watusaidie mana mimi naona upo complicated
Mkuu ebay ilinishinda jambo moja tu kuna bidhaa ambazo zinatumwa world wide sasa nikijaza tanzania kwenye setting inagoma huwa unafanyaje? Jee wanatuma direct tu bongo kwa bidhaa ambazo ni shipping world wide ?
 
Hazchem plate

Hazchem plate

JF-Expert Member
Joined
Feb 25, 2011
Messages
4,689
Likes
3,872
Points
280
Hazchem plate

Hazchem plate

JF-Expert Member
Joined Feb 25, 2011
4,689 3,872 280
Ni mambo unayotakiwa uyatimize kabla hujawa mnunuzi rasmi wa mitandaoni, na yupi muuzaji salama kwa sisi wageni wa mitandao ili nianzie angalau kasaa kamoja au kasimu cheap kidogo niwape mrejesho baada ya kufanikiwa.
Na kwa uzoefu wako kwa hizo item nilizojaza nawepa kushika mkononi kwa bei gani na muda gani mpaka hapa nilipo Dodoma mjini.
Kwa ww ambae upo dodoma jifunze kununua vutu toka Dar kwanza kabla hujaamua kununua overseas
 
F

fokofu

Member
Joined
Oct 17, 2012
Messages
33
Likes
23
Points
15
F

fokofu

Member
Joined Oct 17, 2012
33 23 15
Mkuu ebay ilinishinda jambo moja tu kuna bidhaa ambazo zinatumwa world wide sasa nikijaza tanzania kwenye setting inagoma huwa unafanyaje? Jee wanatuma direct tu bongo kwa bidhaa ambazo ni shipping world wide ?
Ukitaka upate urahisi na upate Bidhaa yoyote unayoitaka ambayo seller haitumi Bongo Tumia forwading company hizi kampuni ukishajisajili wanakupa anuani ya marekani unakwenda kuiongezea kwenye anuani yako ya Ebay au Amazon wakati unanunua kitu ambacho seller anatuma Us only unampa anuani hiyo uliyopewa na hao forward company kisha seller atatuma mzigo kwenye anuani hiyo ambayo itakuonyesha kama wewe upo marekani baada ya hapo mzigo ukiwafikia hao forward company watakujulisha kuwa mzigo wako umewafikia kisha wao watacalculate gharama za kuutuma kuja nchini kwako na watakupa option mbalimbali za kuusafirisha pamoja na siku ngapi utachukua mfano kuna DHL, USPSS(POSTA YA USA), FEDEX, TNT, N. K hapo itabaki ni wewe sasa mfuko wako na uwaraka wa mzigo wako mimi huwa nasafirisha kwa airmail economy ni 7$ ila mzigo unachukua wiki 3-4, kama nina haraka nao niatumia USPSS mzigo unatumia wiki moja hadi mbili 17$.
 
S

Sangoma

JF-Expert Member
Joined
Apr 7, 2012
Messages
272
Likes
57
Points
45
Age
27
S

Sangoma

JF-Expert Member
Joined Apr 7, 2012
272 57 45
hii nzuri kwa kuanzia manunuzi
 
Daviie

Daviie

JF-Expert Member
Joined
May 20, 2016
Messages
727
Likes
597
Points
180
Daviie

Daviie

JF-Expert Member
Joined May 20, 2016
727 597 180
screenshot_2018-04-01-14-13-16-png.748574
mwenzenu nafukuzia hili dude ila nina wasiwasi sjui kama litakuwa imara. Wanasema "cheap is expensive" lkn namimi ninauhitaji wa tricycle kuliko kitu chochote kwa sasa
 
Forum statistics

Threads 1,250,938
Members 481,523
Posts 29,751,536