...hawa ni akina nani kwenye hii picha?

...hawa ni akina nani kwenye hii picha?

BAGAH

JF-Expert Member
Joined
Jan 17, 2012
Posts
4,523
Reaction score
1,060
...naona tu kasura ka Kongosho kwa mbaali...hao wengine ni akina nani??
 
Attachments

  • IMG-20120312-WA0000.jpg
    IMG-20120312-WA0000.jpg
    56.5 KB · Views: 233
kumbe ushamba kaanza zamani eeh?...wewe mjanja toka enzi!

Bdo ana ushamba wa kuzaliwa na kukua nao.
Nlianza kuwa na ndoto za kumiliki gar toka utoton ndo maana sa hv hazpit mbali. Tayari Amyner anamiliki Prado mpya ya mwaka 2011
 
Dah! Hicho chombo nilitengeneza mwenyewe! Nakuona mkuu bagah umejificha pembeni na ndala zako za 'sky way' rangi ya njano!
 
Dah! Hicho chombo nilitengeneza mwenyewe! Nakuona mkuu bagah umejificha pembeni na ndala zako za 'sky way' rangi ya njano!

...tehe!..afu nimegeuza...kuli kushoto kushoto kulia...sina habari!
 
hahaha namuona rejeo, enzi izo pua lake la wastan tu lolz!
 
Sikuhzi maubunifu kama hayo huku town hakunaga tena...
Watoto wanasoma mavitu magumu, akili zinachoka mda wote, huo ubunifu wataupata wapi?

Mtoto yuko shule kuanzia 12 asubuhi mpaka 12jioni ndio anarudi home lol..
 
Watoto wanasoma mavitu magumu, akili zinachoka mda wote, huo ubunifu wataupata wapi?

Mtoto yuko shule kuanzia 12 asubuhi mpaka 12jioni ndio anarudi home lol..
.
Mbaya zaidi wanaanza boarding wakiwa na 5 years
 
Bdo ana ushamba wa kuzaliwa na kukua nao.
Nlianza kuwa na ndoto za kumiliki gar toka utoton ndo maana sa hv hazpit mbali. Tayari Amyner anamiliki Prado mpya ya mwaka 2011

Mtei..
 
Nawaza sijui nihamie Arusha. Dar imenishinda..lol. ntawamiss na fujo zenu za mbalamwezi.
Amy ningefurahi ungeanza kujiandaa mi naprocess ticket yako ya flight chap....
 
Back
Top Bottom