...hawa ni akina nani kwenye hii picha?

...hawa ni akina nani kwenye hii picha?

...naona tu kasura ka Kongosho kwa mbaali...hao wengine ni akina nani??

Huyo aliyesimama pembeni kavaa kandambili za Njano anaonekana Kaptula kama sikosei atakua ni Malaria Sugu!
 
Awsome picture, huyo dereva hizo ni ndoto na kama amezitimiza hongera zake.
 
Wewe una uhakika na unachokisema? Usije ukatafuta kesi kwa kongosho bureeeee.
 
Back
Top Bottom