Hawa ndo wanawake wa zama hizi

Hawa ndo wanawake wa zama hizi

Jiulize ni kwanini alikua na wengine japo wewe ulinunua simu, si ajabu walikuwepo kabla yako lakini wewe ulijionyesha kuwa ni Eng. Zezudu pesa kwako siyo shida.

Naona sasa tumeanza kuwambia ukweli hawa vijana...

Waambiwe ukweli tu maana mwisho wa siku watataka kujinyonga kisa mapenzi..
 
"Kuwa na future naye" hapa inategemeana na hyo future utakavyoi define mfano yeye labda future yake ni kuzalishwa na kisha kukimbiwa (ndo anavyotaka hivyo) halafu jamaa badaye arudi amdanganye danganye warudiane walee watoto n.k

Halafu jamaa yako analeta pua yake kuja kuoa hauoni atakuwa anakuja kuvueuga future za watu?

Kingine ukute jamaa aliingilia mapenzi ya watu .

Umeongea point ya msingi sana imekaa kama utopolo lakini ni point kubwa sana....

Tunaona mitaani huku
 
haya yamemkuta rafiki yangu na ameapa kamwe hatokuja kuoa japo alikua na shauku kubwa ya kuingia ndoani.
kwani ukisema ukweli kua yamekukuta wewe unadhani nani atakucheka!?
 
Mimi nishanunua simu na vocha nikawa natia ikatumika kutongozewa na kurushia picha za uchi.

Hayo yamenitokea kwa wawili

Wanawake Dah mimi wamenishinda
 
Wakuu Salaam,

Anafikia hatua ya kukutambulisha kwao, umepeleke wazazi wako ajili ya kuzungumza mahari bt kumbe nyuma ya pazia kwenye sim yake kakusave "kaka" alafu kuna boya jingine ambalo yeye mwenyewe kashajua halina future nae ndo kalisave "my love" tena kwenye sim ulomnunulia.

haya yamemkuta rafiki yangu na ameapa kamwe hatokuja kuoa japo alikua na shauku kubwa ya kuingia ndoani.
Si useme tu kama ni wewe
 
Mzee wa namba D vipi hujamshauri rafikiyo?
 
Angalieni sana wanawake mnaotaka kuwaoa. Vijana wa siku hizi vigezo vyenu vya mke bora ni vya ajabu sana. Kijana anaangalia makalio makubwa na sura nzuri kama kigezo cha mke bora. Tena msichana akishakua navyo, basi kijana ndio ataharakisha kabisa kuoa. Haya matatizo mnayataka wenyewe.

Tulieni, mkitulia, wanawake wa kuoa wapo. Kigezo namba 1 kiwe tabia njema.
Hao wenye makalio makubwa sio wanawake? Hujakutana na mwanamke hana be wala che ila ni mshenzi kupitiliza mpaka unajiuliza hiki nini
 
Angalieni sana wanawake mnaotaka kuwaoa. Vijana wa siku hizi vigezo vyenu vya mke bora ni vya ajabu sana. Kijana anaangalia makalio makubwa na sura nzuri kama kigezo cha mke bora. Tena msichana akishakua navyo, basi kijana ndio ataharakisha kabisa kuoa. Haya matatizo mnayataka wenyewe.

Tulieni, mkitulia, wanawake wa kuoa wapo. Kigezo namba 1 kiwe tabia njema.
kuna mkuu alisema kigezo utepe
 
Mkuu mwanamke acha kabisa,niko na Jamaa angu mmoja anakulana na mdada ambaye ameshalipiwa hadi mahari kwao na Jamaa mwingine.

Siku jamaa anakwenda ukweni kujitambulisha kile kishika uchumba sijui ndio kitangulizi demu akapewa na mzee wake, ebn kesho yake akamtafuta msela wakaenda kuitungua maeneo kama siku kadhaa hv

Jamaa mpaka muda huu ameshalipia mahari ila anaenda kuuziwa nyumba mbovu tu maana, rafiki yangu mpaka sasa madai yake ameshafungua milango yote kukagua usalama wa nyumba, sasa huyo ndio unalipia aje Kua mkeo kweli?????

Wanawake ni mambo mbaya sana ani, nimemkanya Jamaa angu maana najua Karma ipo tu na itamrudia na mm natamani yamkute Siku aumie moyo tu maana ni kamchezo kake sasa
 
Ulidhani pesa zitamzuzua, mapenzi si lelemana..unapokelewa jinsi ulivyojipeleka. Ukijipeleka kidangadanga atakuchukulia hivyo hivyo, ukijipeleka ki-husband material na yeye anatulia.
Sasa inakuaje unajua uko na mtu A alafu bado unaendelea kuwa na mtu B? Huoni kama hii inakamilisha ule usemi unao sema akili ya mwanamke ni fupi? (No offence, ni swali tu).
 
Ulidhani pesa zitamzuzua, mapenzi si lelemana..unapokelewa jinsi ulivyojipeleka. Ukijipeleka kidangadanga atakuchukulia hivyo hivyo, ukijipeleka ki-husband material na yeye anatulia.
Hapa Kuna point
 
Sasa inakuaje unajua uko na mtu A alafu bado unaendelea kuwa na mtu B? Huoni kama hii inakamilisha ule usemi unao sema akili ya mwanamke ni fupi? (No offence, ni swali tu).
Huwa haitokei hivyo kwa mwanaume? Kuwa mpenzi zaidi ya mmoja?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom