Hawa ndo wanawake wa zama hizi

Hawa ndo wanawake wa zama hizi

mnatusumbua sana nyie kina mama sky hamueleweki mnataka nini?
1609301437598.jpeg


Ukipata wasaa wa kusoma hiki kitabu utaishi kwa amani na wanawake
 
Kuna demu simu nilimnunulia Mimi , akaanza kuwasiliana na wanaume wengine na wanatumia simu niliyonunua mimi kutongozana , Niligawa kichapo na kuanza kudai simu yangu

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa nini unampiga mwanamke ,je? umejiuliza, mwamke hapigwi mwanamke sawa sawa na bahari huwezi kuilinda ,kama weye hawezi kukulinda basi na yy vile vile huwezi kumlinda cha muhimu ni kuheshimiana na mwanamke yyote akikuendea kinyume ujue hakutaki.
 
Angalieni sana wanawake mnaotaka kuwaoa. Vijana wa siku hizi vigezo vyenu vya mke bora ni vya ajabu sana. Kijana anaangalia makalio makubwa na sura nzuri kama kigezo cha mke bora. Tena msichana akishakua navyo, basi kijana ndio ataharakisha kabisa kuoa. Haya matatizo mnayataka wenyewe.

Tulieni, mkitulia, wanawake wa kuoa wapo. Kigezo namba 1 kiwe tabia njema.
Sisi hawa vijana huwa tunawaangalia tu wanvyojidai wajuaji.
 
Angalieni sana wanawake mnaotaka kuwaoa. Vijana wa siku hizi vigezo vyenu vya mke bora ni vya ajabu sana. Kijana anaangalia makalio makubwa na sura nzuri kama kigezo cha mke bora. Tena msichana akishakua navyo, basi kijana ndio ataharakisha kabisa kuoa. Haya matatizo mnayataka wenyewe.

Tulieni, mkitulia, wanawake wa kuoa wapo. Kigezo namba 1 kiwe tabia njema.
Hawa watu ni kama kinyonga mkuu wanaweza kuficha tabia zao halisi wakati wa uchumba hata miaka mitatu lakini mkishaoana ndio utajua hujui
 
We unatoa zawadi na bado unataka kupanga masharti ya namna ya kuitumia hiyo zawadi?
 
Kwa nini unampiga mwanamke ,je? umejiuliza, mwamke hapigwi mwanamke sawa sawa na bahari huwezi kuilinda ,kama weye hawezi kukulinda basi na yy vile vile huwezi kumlinda cha muhimu ni kuheshimiana na mwanamke yyote akikuendea kinyume ujue hakutaki.
Aliyekwambia mwanamke apigwi nani mnasikiliza maneno ya kanga mnayaweka kichwani asilimia 99 ya wanawake wanaoishi na wanaume wanapigwa au walishapigwa
 
Wakuu Salaam,

Anafikia hatua ya kukutambulisha kwao, umepeleke wazazi wako ajili ya kuzungumza mahari bt kumbe nyuma ya pazia kwenye sim yake kakusave "kaka" alafu kuna boya jingine ambalo yeye mwenyewe kashajua halina future nae ndo kalisave "my love" tena kwenye sim ulomnunulia.

haya yamemkuta rafiki yangu na ameapa kamwe hatokuja kuoa japo alikua na shauku kubwa ya kuingia ndoani.
Kwa namna ulivyoandika kwa hisia bila shaka hili limekukuta wewe mwenyewe sio rafiki
 
Kamwe usiwekeze kwa mwanamke, kama una elfu kumi honga shilingi hamsini, ukufuata utaratibu huo huwezi umizwa na mwanake. kama unataka kuoa angalia anayekuheshim hilo ni la msingi ndio uendelee na mengine ya ziada, mwanamke anaweza liwa na yeyoye, usisumbuke kufikiria hilo, ila ukijua au kumwona fukuza, Tafuta Pesa kwa akili zako zote na nguvu zako zote hio ndio suluhisho la changamoto zote za maisha.
 
Angalieni sana wanawake mnaotaka kuwaoa. Vijana wa siku hizi vigezo vyenu vya mke bora ni vya ajabu sana. Kijana anaangalia makalio makubwa na sura nzuri kama kigezo cha mke bora. Tena msichana akishakua navyo, basi kijana ndio ataharakisha kabisa kuoa. Haya matatizo mnayataka wenyewe.

Tulieni, mkitulia, wanawake wa kuoa wapo. Kigezo namba 1 kiwe tabia njema.
Hahahahah makalio ndio SI Unit ya warembo mjini 😁! Demu akiwa na mswambwanda tu ana uhakika wa kuishi vizuri mjini bila kazi wala biashara.
 
Mpe pole sana huyo jamaa yako, mwambie asikate tamaa hayo ndiyo mapenzi.
 
Angalieni sana wanawake mnaotaka kuwaoa. Vijana wa siku hizi vigezo vyenu vya mke bora ni vya ajabu sana. Kijana anaangalia makalio makubwa na sura nzuri kama kigezo cha mke bora. Tena msichana akishakua navyo, basi kijana ndio ataharakisha kabisa kuoa. Haya matatizo mnayataka wenyewe.

Tulieni, mkitulia, wanawake wa kuoa wapo. Kigezo namba 1 kiwe tabia njema.
Mkuu kipengele cha tako ni muhimu sana tafadhali.
 
Kwa nini unampiga mwanamke ,je? umejiuliza, mwamke hapigwi mwanamke sawa sawa na bahari huwezi kuilinda ,kama weye hawezi kukulinda basi na yy vile vile huwezi kumlinda cha muhimu ni kuheshimiana na mwanamke yyote akikuendea kinyume ujue hakutaki.
Wanahitaji dozi hawa, vitu vyako avitumie kwa manufaa yako nawe hupo kimya tu, atalala na mwanaume kwenye kitanda chako

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom