Hawa ndo waekezaji wa kichina

Hawa ndo waekezaji wa kichina

Biashara nyingi za kibongo zilikuwa za wizi wizi sasa Mungu kutuletea wachina wacha waaweke sana mmetuibia sana wezi wakubwa nyie hasa wachaga

USSR
Kumbe vitu hata sio bei kubwa, yani kitu ambacho wachina wanatuuzia 5000 kwa wachaga zamani bila 40000 hukipati
 
Hizo biashara wanazofanya ni zawabongo, wamewaajili kijanja Kwa makubaliano maalumu. Maana wao kupata tenda serikalini ni rahisi kuliko sisi.
 
Hizo biashara wanazofanya ni zawabongo, wamewaajili kijanja Kwa makubaliano maalumu. Maana wao kupata tenda serikalini ni rahisi kuliko sisi.
Wao kupata tenda ni lazima kwa sababu, tenda za dunia ya leo, Kuna kipengele kandarasi ni lazima pia uwe na guarantor ya miaka mawili, kwamba katika mradi husika kazi hairuhusiwi kusimama, endapo serekali itachelewesha fedha, govt as fixed dude shall settle down all for a period not exceeded 2 years! (mikataba ya kisasa hii)
 
Wao kupata tenda ni lazima kwa sababu, tenda za dunia ya leo, Kuna kipengele kandarasi ni lazima pia uwe na guarantor ya miaka mawili, kwamba katika mradi husika kazi hairuhusiwi kusimama, endapo serekali itachelewesha fedha, govt as fixed dude shall settle down all for a period not exceeded 2 years! (mikataba ya kisasa hii)
Ukitumia point hiyo wakandarasi wetu watajikwamuaje watakuaje wakubwa
 
Je tumetengenezewa mazingira ya kufanya biashara mkuu?

Kiongozi nakuelewa na nakukubali sana, ila nachukulia kwamba watazania ni kama watoto yatima kwa maccm, tukisubiri tutetengenezewe hayo mazingira yatatenegenezwa? Ni kama vile kusubiri mwamba utoe maji, so nachukulia kama mtoto yatima wazazi wamefariki kinachofuata ni kupambana na hali ilivyo. Kwa sababu hamna namna maccm yataacha hiyo nafasi kwa watu maskini ila ukipambana una chance ya kufanikiwa au kufa ukiwa umesimama sio kupiga magoti na watu wanaofanikiwa pamoja na mazingira magumu yaliyopo. So dunia ishakua kijiji na viongozi waliotangulia hawakufanya kazi yao kutuandaa so hamna namna ya kufanya tena, wageni wanakuja inabidi tupambane nao hivyohivyo, kwa sababu hamna kelele wala posts za kwnye mitandao zitabadilisha kitu
 
Hadi lami za km 2 wanapewa wachina hayo makampuni ya kichina yanapewa support kubwa sana na serikali yao
Thank you, umenielewa vyema sana, miradi mingi, sana huendeshwa kwa mikopo laini yaani unalipa kiasi, then hata uki delay kazi inaendelezwa na mkandarasi,malipo ya umaliziaji hufuata baadae!, hata baada ya miaka 2-3, uzuri wake, kwa mfumo huu fedha huwa hazicheleweshwi sana.
 
Heb

Hebu itaje nchi moja na eleza namna inavyopigania wananchi wake tujiunze, huenda unajua zaidi tusikucriticize kwa ujinga wetu
Uko mbali sana kifikra
Mchina akinunua bidhaa China kwao anauziwa bei rahisi kuliko wewe mtanzania unayenunua China mpaka hapo tayari huwezi shindan nao
 
Hawa ndo waekezaji wa kichina nchini Tanzania
  • Wachina wanafungua car wash
  • Wachina wanafungua supermarket
  • Wachina wanafungua maduka ya kuuza bajaji na pikipiki
  • Wachina wanafungua maduka ya rejareja
  • Tender nyingi na kubwa wanapewa wachina
  • Wachina wanafanya uchimbaji wa madini mdogo
  • Wachina wameharibu bei vibaya mno ni ngumu kwa mfanyabiashara wa kitanzania kushindana nao
  • Machina mteja anayetaka pisi moja anamuuzia sawa na anayetaka pisi 500
  • Wachina swala la kodi hawalijui hawatoi risiti kabisa
wachina wanapewa mali/bidhaa kwa bei ambayo hata wewe ukinunua China ni ngumu kuuziwa hivyo huyo mtu unashindaye vip mkija Tanzania lazima mchina atauza kwa bei ndogo kuliko mfanyabiashara wa Tanzania

China angeruhusu wazungu waingie nchini kwake kufanya biashara kama sisi tunavyowaruhuru wa China hadi leo angekuwa wangekuwa manamba wa makampuni ya wazungu.
Bibi Samia oyeeeeeee
 

Attachments

  • 20250306_140427.jpg
    20250306_140427.jpg
    103.7 KB · Views: 19
Uko mbali sana kifikra
Mchina akinunua bidhaa China kwao anauziwa bei rahisi kuliko wewe mtanzania unayenunua China mpaka hapo tayari huwezi shindan nao
Weka mifano ya bidhaa tulinganishe bei wanayouziwa na nikitaka kununua sasa hivi niombe quotation tuone, hatuna haja ya kufanya hisia kiongozi japo naheshimu sana mawazo yako na naona kabisa jinsi ulivyo na uchungu na nchi yetu! Sina nia ya kubeza ila nashauri kuadapt maana maccm hayasikii lugha yoyote. Mimi nafanya biashara na wachina so najua nachoongea
 
Back
Top Bottom