Hawa ndo waekezaji wa kichina

Hawa ndo waekezaji wa kichina

Kiongozi nakuelewa na nakukubali sana, ila nachukulia kwamba watazania ni kama watoto yatima kwa maccm, tukisubiri tutetengenezewe hayo mazingira yatatenegenezwa? Ni kama vile kusubiri mwamba utoe maji, so nachukulia kama mtoto yatima wazazi wamefariki kinachofuata ni kupambana na hali ilivyo. Kwa sababu hamna namna maccm yataacha hiyo nafasi kwa watu maskini ila ukipambana una chance ya kufanikiwa au kufa ukiwa umesimama sio kupiga magoti na watu wanaofanikiwa pamoja na mazingira magumu yaliyopo. So dunia ishakua kijiji na viongozi waliotangulia hawakufanya kazi yao kutuandaa so hamna namna ya kufanya tena, wageni wanakuja inabidi tupambane nao hivyohivyo, kwa sababu hamna kelele wala posts za kwnye mitandao zitabadilisha kitu
Noted mkuu
 
Hawa ndo waekezaji wa kichina nchini Tanzania
  • Wachina wanafungua car wash
  • Wachina wanafungua supermarket
  • Wachina wanafungua maduka ya kuuza bajaji na pikipiki
  • Wachina wanafungua maduka ya rejareja
  • Tender nyingi na kubwa wanapewa wachina
  • Wachina wanafanya uchimbaji wa madini mdogo
  • Wachina wameharibu bei vibaya mno ni ngumu kwa mfanyabiashara wa kitanzania kushindana nao
  • Machina mteja anayetaka pisi moja anamuuzia sawa na anayetaka pisi 500
  • Wachina swala la kodi hawalijui hawatoi risiti kabisa
wachina wanapewa mali/bidhaa kwa bei ambayo hata wewe ukinunua China ni ngumu kuuziwa hivyo huyo mtu unashindaye vip mkija Tanzania lazima mchina atauza kwa bei ndogo kuliko mfanyabiashara wa Tanzania

China angeruhusu wazungu waingie nchini kwake kufanya biashara kama sisi tunavyowaruhuru wa China hadi leo angekuwa wangekuwa manamba wa makampuni ya wazungu.

(X zaman twitter tunatumia user name ya made in tz_ au made in Tanzania project)

View: https://www.instagram.com/reel/DHS8_jGOyN4/?igsh=ZGQxbmJ1Zjk3YTdp
 
Back
Top Bottom