Ngwathra
Platinum Member
- Jul 11, 2007
- 7,011
- 14,220
Sio kulinda kwa namna hiyo, ulinzi unawekwa kwa policies sio hisia, na kama watu wako hawatumii fursa huwezi kuacha zioze wakati kuna wanaoziona na kuzifanyia kazi! Dunia inasonga mbele deile huwezi kuacha kwenda na dunia eti unasubiri watu wako waache kuvuja kamasi waamke na kuona fursa wakati wapo bize kula kimasihara na kudai huduma bure! Kila nchi iliyoendelea iliruhusu diversity kwanza wakaja wageni ndipo wenyeji wakaamka! Leo hii Marekani ingekua bado maskini kama Native Americans wangezuia wageni kuingia na kufanya biashara na maendeleo, ni ushandani tu hamna baby sitting!Dunia Kate lazima ulinde fursa kwa wananchi wako hata China wanalinda maslai ya wananchi wao same kwa marekani na nchi nyingi
Ulishawahi jiuliza kwanini hakuna Bank ya Tanzania ya kibiashara inayofanya kazi kenya
Ukiona Mchina kafungua car wash we fungua kuzalisha sabuni ya maji umuuzie, ukiona wamejaa we fuga mbwa na pork wauzie nyama then mnasonga mbele wote sio kulialia hapa mama azuie wageni as long as wanalipa kodi na wewe unapata huduma bure ya barabara maisha yanaendelea