mrangi
JF-Expert Member
- Feb 19, 2014
- 95,881
- 136,795
Wao wamewekeza kwenye kukataJwanini na wewe usiwekeze kama mchina?
Kishakufungua nacho kwa vitendo, na ndio lengo hilo.
Mauno ,hawaoni kila kijana anataka kuwa muimba singeli
Ova
Wao wamewekeza kwenye kukataJwanini na wewe usiwekeze kama mchina?
Kishakufungua nacho kwa vitendo, na ndio lengo hilo.
Wawekeze tu kwa kuuza Ndimu 😀 😀Wawekeze au wanafanya uchuuzi
Apple devices zinatengenezwa na Wamarekani hapo China, na sababu ni kuwa wafanyakazi wachina ni cheap kuliko Marekani ila kwa China ni faida sababu raia wake wanapata ajira ambayo angewabania wamarekani kuwekeza bado yeye mchina asingeweza kuwapa ajira hao wachina.China angeruhusu wazungu waingie nchini kwake kufanya biashara kama sisi tunavyowaruhuru wa China hadi leo angekuwa wangekuwa manamba wa makampuni ya wazungu.
Jiulize kwanini China aliwabana wazungu na makampuni yao wasifanye biashara China waziwazi
Ni Rushwa kwenda mbeleWakulaumiwa ni viongozi na sio wananchi viongozi ndo wanaowapa vibali
Kampuni nyingi za China kubwa zinamilikiwa na wachina biashara kubwa china zinamilikiwa na wachina na sio wageniApple devices zinatengenezwa na Wamarekani hapo China, na sababu ni kuwa wafanyakazi wachina ni cheap kuliko Marekani ila kwa China ni faida sababu raia wake wanapata ajira ambayo angewabania wamarekani kuwekeza bado yeye mchina asingeweza kuwapa ajira hao wachina.
Unaposema aliwabana wasifanye biashara waziwazi - sijui unamaanisha nini mkuu?
Ndio maana Trump anawapiga vitaHawa ndo waekezaji wa kichina nchini Tanzania
China angeruhusu wazungu waingie nchini kwake kufanya biashara kama sisi tunavyowaruhuru wa China hadi leo angekuwa wangekuwa manamba wa makampuni ya wazungu.
- Wachina wanafungua car wash
- Wachina wanafungua supermarket
- Wachina wanafungua maduka ya kuuza bajaji na pikipiki
- Wachina wanafungua maduka ya rejareja
- Tender nyingi na kubwa wanapewa wachina
- Wachina wanafanya uchimbaji wa madini mdogo
- Wachina wameharibu bei vibaya mno ni ngumu kwa mfanyabiashara wa kitanzania kushindana nao
- Machina mteja anayetaka pisi moja anamuuzia sawa na anayetaka pisi 500
- Wachina swala la kodi hawalijui hawatoi risiti kabisa
Hamna shida ila usitegemee mchina akakulimia mchicha wa kawaida.Hamna shida kama wenyeji hawataki kulima wacha waje tu
Mbona Dar wageni toka mikoani wapo kibao wanaolima mchicha na kufuga kuku sababu wenyeji wazaramo hawataki kulima mchicha wala kufuga kuku wakati watu wanahitaji mchicha na kuku
Sawa tu hamna shida
Neno biashara unali tasfiri vipi ? Kwa sababu wazungu wana biashara nyingi tu ndani ya ChinaChina angeruhusu wazungu waingie nchini kwake kufanya biashara kama sisi tunavyowaruhuru wa China hadi leo angekuwa wangekuwa manamba wa makampuni ya wazungu.
Kwani sasa hivi wewe unatofauti gani na manambaMkuu, watanzania wangapi wameweza kuwekeza China?
Baadaye mtaanza kuwa manamba kwenye nji yenu wenyewe?
Wanatakiwa wawekezaji katika uzalishaji na sio uchuuzi.
Halafu mbona Zanzibar hawaingii? Hakuna mazingira mazuri kwa wao kufanya uchuuzi kule?
Hujui lolote umejaza ujingaChina angeruhusu wazungu waingie nchini kwake kufanya biashara kama sisi tunavyowaruhuru wa China hadi leo angekuwa wangekuwa manamba wa makampuni ya wazungu.
Jiulize kwanini China aliwabana wazungu na makampuni yao wasifanye biashara China waziwazi
Sawa mkuu, endelea kulalamikaKampuni nyingi za China kubwa zinamilikiwa na wachina biashara kubwa china zinamilikiwa na wachina na sio wageni
Mabilionea wote ni wakichina na sio wageni
Ulishawahi jiuliza ni kwanini wamefanya hivi
Hizo kampuni zinazofanya zinazopewa contract na kampuni za kimarekani zinamilikiwa na wachina
uchumi wa China unamilikiaa na wachina Sasa wewe unataka uchumi wa Tanzania washikilie wageni na unashabiki ila akili za mwafrika ni fupi sana
Sio kulalamika huo ndo ukweliSawa mkuu, endelea kulalamika
Mbona hujaandika kweli au ndo unapiga debeHujui lolote umejaza ujinga
Wewe Mleta mada kaa hapo hapo na upumbavu wako watanzania kibao wamewekeza China
Mmojawapo huyu hapa
View: https://youtu.be/QQh-Bakln4E?si=NY2K2KNIIGMZIX3y
EFD?Hawa ndo waekezaji wa kichina nchini Tanzania
China angeruhusu wazungu waingie nchini kwake kufanya biashara kama sisi tunavyowaruhuru wa China hadi leo angekuwa wangekuwa manamba wa makampuni ya wazungu.
- Wachina wanafungua car wash
- Wachina wanafungua supermarket
- Wachina wanafungua maduka ya kuuza bajaji na pikipiki
- Wachina wanafungua maduka ya rejareja
- Tender nyingi na kubwa wanapewa wachina
- Wachina wanafanya uchimbaji wa madini mdogo
- Wachina wameharibu bei vibaya mno ni ngumu kwa mfanyabiashara wa kitanzania kushindana nao
- Machina mteja anayetaka pisi moja anamuuzia sawa na anayetaka pisi 500
- Wachina swala la kodi hawalijui hawatoi risiti kabisa
You are right. Akipata shida anataka aliowaombea mabaya, aliowabeza, aliowadharauHizi ndo akili za mwafrika furaha yake ni kuona wenzake wanateseka na akipata shida anataka aliowaombea mabaya wamsaidie
Gwanzhou😅😅Tanzania ni kama Mkoa ndani ya China
Dunia Kate lazima ulinde fursa kwa wananchi wako hata China wanalinda maslai ya wananchi wao same kwa marekani na nchi nyingiWatanzania tunalialia sana kwa kila kitu tushazoezwa baby sitting na ujamaa na tumegoma kabisa kubadilika! Endelea kulia watachukua hata pisi zetu tupate watanzania wapya hybrid huenda watakua na akili ya kupambana badala ya kulialia. Hii generation iondoke sasa inakera sana! Maisha ushindani wandugu wachina wakiona fursa wanachukua tu period
Kwa sababu haziwezi ushindaniDunia Kate lazima ulinde fursa kwa wananchi wako hata China wanalinda maslai ya wananchi wao same kwa marekani na nchi nyingi
Ulishawahi jiuliza kwanini hakuna Bank ya Tanzania ya kibiashara inayofanya kazi kenya