Hawa Ndiyo Wanawake

Hawa Ndiyo Wanawake

Tutajuaje Kama hii story yako ni Kweli? Acha kutulisha matango pori bana
 
Kuna mke wa mfanyakazi wa taasisi yetu alisikia kuwa mfanyakazi akifa, siku ya mazishi mke wake atapewa na taasisi 3m, atapokea michango ya rambirambi kutoka kwa wafanyakazi na ataendelea kupokea net salary ya mumewe kwa miezi 24, akajaribu kumuuwa muewe kwa sumu, mume akanusurika
Taasisi gani inalipa mshahara wa mwaka mzima kwa mtu ambae hana mchango ktk taasisi?
 
Back
Top Bottom