Hawa Ndiyo Wanawake

Hawa Ndiyo Wanawake

Kuna mke wa mfanyakazi wa taasisi yetu alisikia kuwa mfanyakazi akifa, siku ya mazishi mke wake atapewa na taasisi 3m, atapokea michango ya rambirambi kutoka kwa wafanyakazi na ataendelea kupokea net salary ya mumewe kwa miezi 24, akajaribu kumuuwa muewe kwa sumu, mume akanusurika
Wewe ulijuaje kama mke alijaribu kumuua ili apate kiasi hicho cha pesa?
 
Kuna mke wa mfanyakazi wa taasisi yetu alisikia kuwa mfanyakazi akifa, siku ya mazishi mke wake atapewa na taasisi 3m, atapokea michango ya rambirambi kutoka kwa wafanyakazi na ataendelea kupokea net salary ya mumewe kwa miezi 24, akajaribu kumuuwa muewe kwa sumu, mume akanusurika
Serikali yetu nayo ina huu ubaguzi, watumishi wa mahakama wanapewa Mil kadha wakifiwa, ila hizi ajira zingine mmmh!!
 
Sijafahamu, sasa hapo unamsifia au unawatahadharisha wanaume wenzio?
 
Yaani milioni 3 ndiyo zimfanye huyo Mwanamke atende kosa la jinai?

Wakati mwingine hata kama unamchukia mtu ibaki wewe mwenyewe sio kutaka kila mtu amchukie, kuna wenzio tunatendewa wema na hao Wanawake hadi tunakosa cha kuwalipa.
 
Kuna mke wa mfanyakazi wa taasisi yetu alisikia kuwa mfanyakazi akifa, siku ya mazishi mke wake atapewa na taasisi 3m, atapokea michango ya rambirambi kutoka kwa wafanyakazi na ataendelea kupokea net salary ya mumewe kwa miezi 24, akajaribu kumuuwa muewe kwa sumu, mume akanusurika
Hatari..!!!
 
ccf005bb76d4185cdd83085d474c9586.jpg
 
Kuna mke wa mfanyakazi wa taasisi yetu alisikia kuwa mfanyakazi akifa, siku ya mazishi mke wake atapewa na taasisi 3m, atapokea michango ya rambirambi kutoka kwa wafanyakazi na ataendelea kupokea net salary ya mumewe kwa miezi 24, akajaribu kumuuwa muewe kwa sumu, mume akanusurika
Mkuu Nisaidie no yake kuna mambo nataka kumuuliza
 
Yaani milioni 3 ndiyo zimfanye huyo Mwanamke atende kosa la jinai?

Wakati mwingine hata kama unamchukia mtu ibaki wewe mwenyewe sio kutaka kila mtu amchukie, kuna wenzio tunatendewa wema na hao Wanawake hadi tunakosa cha kuwalipa.
📌📌✌
 
Sahv Hawa mbwa wanawaza mali tu

Kiongozi wetu sahii vitu vyake vinagawanywa pasu Kwa pasu na mkewe

Mkewe aliwah kumshitak ili ampe duka,jamaa akaamuliwa ampe kwel akampa likawa limemshinda likafilisika baadae akaanzisha kesi ya kugawana vitu pia kashinda leo ndo wapo wanawagawanyisha
 
Back
Top Bottom