Sky Eclat
JF-Expert Member
- Oct 17, 2012
- 58,636
- 220,425
Kenyatta alioa mzungu kwanza, sina uhakika lakini mama Ngina inawezekana kuwa mke wa tatu lakini alikuwa ndiye kipenziNaomba kuuliza mtoa mada mama Ngina ni mke wa ngapi wa hayati J.Kenyatta
Kenyatta alioa mzungu kwanza, sina uhakika lakini mama Ngina inawezekana kuwa mke wa tatu lakini alikuwa ndiye kipenziNaomba kuuliza mtoa mada mama Ngina ni mke wa ngapi wa hayati J.Kenyatta
Huyo na mama ngina Utajiri wao sio wa kufight kuanzia chini km wengine, Utajiri wao chanzo kikuu ni uporaji wa kuiba Mali za umma na kuziwekeza yaani kuzungushia.huyo wa Angola anazuio la mahakama kutokutoka nje ya nchi sababu anakabiliwa na kesi ufisadi, hela baba yake alipokuwa raisi alikuwa akiiba kufichia cha mwanae,huyo wa Kenya baada ya Uhuru wakajifisadi Kenya yote kwa kujimegea kuanzia ardhi zenye rutuba,viwanda na hisa.Yule dada wa Angola vipi.?
Ni mtoto wa Raisi kama sikosei .Kawekeza sana kwenye mawasiliano
Aliiibia wakenyaMama Ngina zake alipewaga bure na wakenya au?[emoji33]
Pesa za rushwaYule dada wa Angola vipi.?
Ni mtoto wa Raisi kama sikosei .Kawekeza sana kwenye mawasiliano
Mzee alikuwa mbinafsi Mali yote ya nchi unajimilikisha mwenyewe. Anasadiki maneno ya mwanazuoni mmoja kuwa vita vya kudai Uhuru.Ilikuwa ni hadaa ya wajanja wachache kuwaaminisha wengi wakiwatoa wakoloni weupe wananchi wote watakula mema ya nchi,kumbe ni conspiracy baada ya Uhuru hao wachache wakageuka wakoloni weusi kwa kutenda yaleyale yaliyofanywa na weupe,kwa kuwaibia waafrica wenzao na kuficha ulaya,kuwauwa waafrica wenzao, kuwaletea umasikini na ujinga waafrica wenzao na wao kugeuka matajiri wakubwa na familia zao,Hizi mali amerithi kutoka kwa mume wake mzee Jomo Kenyata si unajua kwamba wazungu walikuwa wana mashamba maelfu ya ekari sasa baada ya uhuru wazungu wakayarudisha kwa serikali ya Kenya mzee Kenyata ndio akayachukua na kuyafanya mali yake
Dada yake kabila hayupo kwenye top ten,na beg lake lililojaa madolariKuna mdada kuna Uzi humu ,unasema alikamtwa Congo na begi la dola ,kaka ake rais ni namba ngapi ?
Isabel dos santos.[emoji116]Yule dada wa Angola vipi.?
Ni mtoto wa Raisi kama sikosei .Kawekeza sana kwenye mawasiliano
Dogo anaona unaingia chumbani kwa baba yako, nmekuambia tafuta helaTukipitia style zote usipate mimba lazima tuende kwa mchungaji atuombee[emoji23][emoji23][emoji23]
kumbe ana hasira za kuchuniwa pm zake!Halafu pm kwa mdangaji ulikua kutafuta nini? Ndo maana sijibugi matahira Kama nyie.
Kuna documents moja iliwekwaga humu miaka ya nyuma ,ungeipitia nadhani angestahili kuwepoDada yake kabila hayupo kwenye top ten,na beg lake lililojaa madolari
Wale wa kwenye Fursa?Sijawaona wa kwetu walioanza na MITAJI ya ELFU 10.
Hawezi bwana nilimwambia hawezi kupigana na mwanamke. Anaandika tu huku ila hawezi Fanya huo ujingaNa yule mwanaume anayetaka kufunga safari Marekani kuja kwenye ile party kumchapa vibao mwanamke tumwitaje?
Okay dear. Nilitema nyongo kidogo tuUsiniangushe mama kubishana hovyo na watu, hebu mpotezee.
Thubutuu yakeNilitegemea kuona jina la Zari boss lady
Eeeh. Sizitaki mbichi hizikumbe ana hasira za kuchuniwa pm zake!