Hawa Ndiyo Wanawake Matajiri Zaidi Afrika

Hawa Ndiyo Wanawake Matajiri Zaidi Afrika

Thubutuu yake
Mwaka 2012 sijui nilisoma gazeti/jarida gani. Nililiona jina lake lipo top East Africa kipindi amenunua lamborghene kama sijakosea.

Na kipindi kile lamborghene zilikuwa chache sana Africa mashariki.
 
Mwaka 2012 sijui nilisoma gazeti/jarida gani. Nililiona jina lake lipo top East Africa kipindi amenunua lamborghene kama sijakosea.

Na kipindi kile lamborghene zilikuwa chache sana Africa mashariki.
Wanampaishaga tu ila Hajawekeza Kama hao wengine. Kwa Socialites wenzie labda anaweza kuwa boss lady ila kwa wafanyabiashara Kama kina Folorunsho atulie apishe siti
 
Pole mke wangu...! Nyamaza kimya umpe sifa ya upumbavu wake.

Njoo tulale mama muda wa kujenga familia huu na kutimiza amri ya Mungu kujaza dunia. Mpaka hizi style ziishe siyo mchezo[emoji116][emoji116]View attachment 877924
Haaahaaaa....huyo aliyezinyongorota hizo pini chizi kweli[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Hao ni matajiri ukwasi wao unatokana na madaraka ya mzee Jomo Kenyatta...akiwa madarakani alipora ardhi nyingi ya wakenya na kujimilikisha leo hii private company nyingi na asset nyingi zimejengwa juu ya ardhi ya Kenyatta...u can imagine the big chunk of money they are making in daily basis
Kenyatta family wana nyumba nyingi London pia.
 
....ukiwachunguza sanaaaa....alitumia vizuri. ch..u...pi ...yake
 
Hao ni matajiri ukwasi wao unatokana na madaraka ya mzee Jomo Kenyatta...akiwa madarakani alipora ardhi nyingi ya wakenya na kujimilikisha leo hii private company nyingi na asset nyingi zimejengwa juu ya ardhi ya Kenyatta...u can imagine the big chunk of money they are making in daily basis
Baada ya uhuru wazungu wali seal deal na Kenyatta asiwafukuze wale settlers in return walimpa bakshishi.

Nyerere alichagua ujamaa pia waingreza walikua guardians hivyo hawakuwekeza sana Tanzania kama walivyowekeza Kenya
 
Back
Top Bottom