Hawa Ndiyo Wanawake Matajiri Zaidi Afrika

Hawa Ndiyo Wanawake Matajiri Zaidi Afrika

Ye
Baada ya uhuru wazungu wali seal deal na Kenyatta asiwafukuze wale settlers in return walimpa bakshishi.

Nyerere alichagua ujamaa pia waingreza walikua guardians hivyo hawakuwekeza sana Tanzania kama walivyowekeza Kenya
Yeah part of is true....but usisahau kwamba Jomo Kenyatta alikuwa ni land grabber....kanyakua ardhi kubwa ya wakenya.... ndio maana leo pale kenya Uhuru Kenyatta ameanzisha vita na wala rushwa wakubwa GRAFT CORRUPT lkn wakenya wanamwambia.....he who come to equity must do equity....arudishe kwanza ardhi ambayo baba yake aliibia wanyonge.....
 
And he went quiet. Ninasikia ukwapuaji unafanywa na vice yeye ana keep clean hands
 
Ole wako umlete jokate baadae na heading yako ni wanawake sio wasichana
 
Hizi mali amerithi kutoka kwa mume wake mzee Jomo Kenyata si unajua kwamba wazungu walikuwa wana mashamba maelfu ya ekari sasa baada ya uhuru wazungu wakayarudisha kwa serikali ya Kenya mzee Kenyata ndio akayachukua na kuyafanya mali yake
na hayo pia ni wizi tu" alipaswa kuyarejesha kwa wananchi tu "...
 
Pole mke wangu...! Nyamaza kimya umpe sifa ya upumbavu wake.

Njoo tulale mama muda wa kujenga familia huu na kutimiza amri ya Mungu kujaza dunia. Mpaka hizi style ziishe siyo mchezo[emoji116][emoji116]View attachment 877924
lmfao '' kweli hiyo inaitwa habari picture" kumbe pini nazo zinafanyaga hako kamchezo" kumbe ndio maana zinazaliana sana
 
And he went quiet. Ninasikia ukwapuaji unafanywa na vice yeye ana keep clean hands
Uhuru hana kashfa ya rushwa asilimia kubwa ya utajiri wake ni wa kurithi but huyo DP ndio inasemekana ni mla rushwa mkubwa na ni bilionea kwa sasa hata IPSOS poll wamemtaja kama ndio the leading corrupt officer in Kenya.... kwamfano hata ile hoteli ya Weston ....amabayo ni yake inasemekana imejengwa juu ya kiwanja cha shule ya watoto
 
Back
Top Bottom