Hawa Ndiyo Wanawake Matajiri Zaidi Afrika

Kanungila Karim

JF-Expert Member
Apr 29, 2016
20,744
25,446
Wanawake matajiri wanazidi kujitokeza barani Afrika. Je, nini tunaweza kujifunza kutoka kwao?

Folurunso Alakija – Nigeria
5C4C0695-2E89-4FC8-BC9B-04646E529BBA-e1537774696644.jpeg

Ni mmoja wa wanawake matajiri zaidi wa Afrika, akiwa Mtendaji Mkuu wa kampuni la mafuta la Famfa la Nigeria na ana utajiri wa Dola bil. 1.6 (Sh. tril. 3.6) Pia ana biashara kubwa za mambo ya fasheni na viwanda vya uchapaji. Alipata utajiri kwa kuwekeza katika biashara ya mafuta kupitia ushauri wa rafiki yake.
Hivyo, ni vyema kuzitumia fursa zozote za kuwekeza, na rafiki wa kweli ni yule anayekupa ushauri wa kufanikiwa maishani.

Hajiya Bola Shagaya – Nigeri
CC8FA643-212D-4B3E-AFA5-E256003275A0.jpeg

Hajiya Bola Shagaya, wa Nigeria, ni mmoja wa wanawake matajiri wakubwa wa Afrika kwa kuwekeza katika miradi mingi ya majengo barani Ulaya na Marekani, katika miradi ya mafuta, benki, mawasiliano, na kadhalika. Ana utajiri wa Dola mil. 630 (Sh. bil. 1.4).
Cha kujifunza ni kuwekeza sehemu mbalimbali na “si kuyaweka mayai yote katika kikapu kimoja”, kwani yanaweza kuvunjika yote.

Ngina Kenyatta – Kenya

135F7442-81A9-4EC1-B07E-5F74A362FC78.jpeg

Mama Ngina ana umri wa miaka 85, ni mjane wa aliyekuwa rais wa kwanza wa Kenya, Jomo Kenyatta. Ana hisa kubwa katika moja ya mabenki makubwa zaidi nchini Kenya, kwenye mahoteli, majengo na ardhi, viwanda vya maziwa, vyombo vya habari, mbao na kadhalika, vyote hivyo kumfanya awe na utajiri wa Dola bil. 1 (Sh. tril. 2.3).
Kuwekeza katika miradi mingi kunalipa.

Bridget Radebe – South Africa

0BEC4866-40CB-4B31-99C8-04BE5C9D91FC.jpeg

Bridget Radebe ni raia wa Afrika Kusini aliyezaliwa 1960, ni mwasisi wa kampuni kubwa la madini nchini humo liitwalo Mmakau Mining, ambalo linajihusisha na uchimbaji wa dhahabu, platinum, uranium, makaa, na kadhalika.
Ana utajiri mkubwa unaofikia Rand bil. 2.
Mafanikio hayajali jinsia — mwanamke au mwanamme.
 
Hawa wa kwetu kazi kujiita ma-bosslady na ma-cash madame kumbe bure kabisa.
 
Mama Ngina zake alipewaga bure na wakenya au?
Hizi mali amerithi kutoka kwa mume wake mzee Jomo Kenyata si unajua kwamba wazungu walikuwa wana mashamba maelfu ya ekari sasa baada ya uhuru wazungu wakayarudisha kwa serikali ya Kenya mzee Kenyata ndio akayachukua na kuyafanya mali yake
 
Wanawake matajiri wanazidi kujitokeza barani Afrika. Je, nini tunaweza kujifunza kutoka kwao?

Folurunso Alakija – Nigeria
5C4C0695-2E89-4FC8-BC9B-04646E529BBA-e1537774696644.jpeg

Ni mmoja wa wanawake matajiri zaidi wa Afrika, akiwa Mtendaji Mkuu wa kampuni la mafuta la Famfa la Nigeria na ana utajiri wa Dola bil. 1.6 (Sh. tril. 3.6) Pia ana biashara kubwa za mambo ya fasheni na viwanda vya uchapaji. Alipata utajiri kwa kuwekeza katika biashara ya mafuta kupitia ushauri wa rafiki yake.
Hivyo, ni vyema kuzitumia fursa zozote za kuwekeza, na rafiki wa kweli ni yule anayekupa ushauri wa kufanikiwa maishani.

Hajiya Bola Shagaya – Nigeri
CC8FA643-212D-4B3E-AFA5-E256003275A0.jpeg

Hajiya Bola Shagaya, wa Nigeria, ni mmoja wa wanawake matajiri wakubwa wa Afrika kwa kuwekeza katika miradi mingi ya majengo barani Ulaya na Marekani, katika miradi ya mafuta, benki, mawasiliano, na kadhalika. Ana utajiri wa Dola mil. 630 (Sh. bil. 1.4).
Cha kujifunza ni kuwekeza sehemu mbalimbali na “si kuyaweka mayai yote katika kikapu kimoja”, kwani yanaweza kuvunjika yote.

Ngina Kenyatta – Kenya

135F7442-81A9-4EC1-B07E-5F74A362FC78.jpeg

Mama Ngina ana umri wa miaka 85, ni mjane wa aliyekuwa rais wa kwanza wa Kenya, Jomo Kenyatta. Ana hisa kubwa katika moja ya mabenki makubwa zaidi nchini Kenya, kwenye mahoteli, majengo na ardhi, viwanda vya maziwa, vyombo vya habari, mbao na kadhalika, vyote hivyo kumfanya awe na utajiri wa Dola bil. 1 (Sh. tril. 2.3).
Kuwekeza katika miradi mingi kunalipa.

Bridget Radebe – South Africa

0BEC4866-40CB-4B31-99C8-04BE5C9D91FC.jpeg

Bridget Radebe ni raia wa Afrika Kusini aliyezaliwa 1960, ni mwasisi wa kampuni kubwa la madini nchini humo liitwalo Mmakau Mining, ambalo linajihusisha na uchimbaji wa dhahabu, platinum, uranium, makaa, na kadhalika.
Ana utajiri mkubwa unaofikia Rand bil. 2.
Mafanikio hayajali jinsia — mwanamke au mwanamme.
Hapa kwetu yupo yule mama RWAKATALE
 
Mfangaji huyo hata kijiko hana
Hivi nyie watu mnaopenda kuandikaga upumbavu wenu kwa watu wasiowajua mnawazaga nini? We nishawahi kukudanga au nishawahi mdanga baba ako?
Embu tuwe na mipaka. Mnapenda Sana kujifanya mnajua watu.
Sina kijiko ulijuaje Kama sio umbea mtoto wa kiume? Mmezidi kutuona sisi tuko tu huku Kama vile hatuna kazi za kufanya.
JIHESHIMU. Sijawahi kukuvunjia heshima ila nimeshindwa kukuvumilia.
 
Msema kweli ni mpenzi wa MUNGU kaa kimya hata kama imekuchoma
 
Koma na ukomae. Nishawahi kukudanga au shobo dundo? Au tafuta mpuuzi mwenzio humu niliewahi kumdanga aje hapa aseme. Acheni kutuchukulia poa kisa tunaandika humu.
MTU hata humjui unapata wapi guts za kumuongelea upumbavu? Mnapenda kujazana ujinga na mlivyo wambea na tabia za kimama ukiona mwenzio kaandika unalibeba na unaliamini. Mijanaume mengine mlifaa mvae magagulo tu maana mnaabudu Sana umbea
 
Back
Top Bottom