bigmind
JF-Expert Member
- Oct 28, 2015
- 12,457
- 12,714
Pole mke wangu...! Nyamaza kimya umpe sifa ya upumbavu wake.Hivi nyie watu mnaopenda kuandikaga upumbavu wenu kwa watu wasiowajua mnawazaga nini? We nishawahi kukudanga au nishawahi mdanga baba ako?
Embu tuwe na mipaka. Mnapenda Sana kujifanya mnajua watu.
Sina kijiko ulijuaje Kama sio umbea mtoto wa kiume? Mmezidi kutuona sisi tuko tu huku Kama vile hatuna kazi za kufanya.
JIHESHIMU. Sijawahi kukuvunjia heshima ila nimeshindwa kukuvumilia.
Njoo tulale mama muda wa kujenga familia huu na kutimiza amri ya Mungu kujaza dunia. Mpaka hizi style ziishe siyo mchezo[emoji116][emoji116]