Hawa Ndiyo Wanawake Matajiri Zaidi Afrika

Hawa Ndiyo Wanawake Matajiri Zaidi Afrika

Hayo ndiyo yakitokea Zimbambwe ya Mugabe. Kenyatta family ni royal family technically
Hahaha, kabila family iko vzr sana,na hasa Dada yao mkubwa Mama Janet kabila nae kazichota haswa

Janet kagame huyu sijawahi fuatilia sana,ttz hata ukiwa Kigali haongelewi hovyo hovyo
 
Hahaha, kabila family iko vzr sana,na hasa Dada yao mkubwa Mama Janet kabila nae kazichota haswa

Janet kagame huyu sijawahi fuatilia sana,ttz hata ukiwa Kigali haongelewi hovyo hovyo
Kagame ana cronic condition na dr wake yuko Marekani. Anatakiwa kuonwa na kupewa dawa kila mara lakini hawezi kusafiri kila wakati hivyo amemuandikisha Janet kama msiri wake mkuu. Huwa anakwenda Marekani kila wakati na kuna deals nyingi ana dili nazo akiwa huko.
 
Naweza kubali hili Mkuu ,nadhani kuna wamama wako na pesa mingi sana,hawajaorodheshwa hapo
 
Wanawake matajiri wanazidi kujitokeza barani Afrika. Je, nini tunaweza kujifunza kutoka kwao?

Folurunso Alakija – Nigeria
5C4C0695-2E89-4FC8-BC9B-04646E529BBA-e1537774696644.jpeg

Ni mmoja wa wanawake matajiri zaidi wa Afrika, akiwa Mtendaji Mkuu wa kampuni la mafuta la Famfa la Nigeria na ana utajiri wa Dola bil. 1.6 (Sh. tril. 3.6) Pia ana biashara kubwa za mambo ya fasheni na viwanda vya uchapaji. Alipata utajiri kwa kuwekeza katika biashara ya mafuta kupitia ushauri wa rafiki yake.
Hivyo, ni vyema kuzitumia fursa zozote za kuwekeza, na rafiki wa kweli ni yule anayekupa ushauri wa kufanikiwa maishani.

Hajiya Bola Shagaya – Nigeri
CC8FA643-212D-4B3E-AFA5-E256003275A0.jpeg

Hajiya Bola Shagaya, wa Nigeria, ni mmoja wa wanawake matajiri wakubwa wa Afrika kwa kuwekeza katika miradi mingi ya majengo barani Ulaya na Marekani, katika miradi ya mafuta, benki, mawasiliano, na kadhalika. Ana utajiri wa Dola mil. 630 (Sh. bil. 1.4).
Cha kujifunza ni kuwekeza sehemu mbalimbali na “si kuyaweka mayai yote katika kikapu kimoja”, kwani yanaweza kuvunjika yote.

Ngina Kenyatta – Kenya

135F7442-81A9-4EC1-B07E-5F74A362FC78.jpeg

Mama Ngina ana umri wa miaka 85, ni mjane wa aliyekuwa rais wa kwanza wa Kenya, Jomo Kenyatta. Ana hisa kubwa katika moja ya mabenki makubwa zaidi nchini Kenya, kwenye mahoteli, majengo na ardhi, viwanda vya maziwa, vyombo vya habari, mbao na kadhalika, vyote hivyo kumfanya awe na utajiri wa Dola bil. 1 (Sh. tril. 2.3).
Kuwekeza katika miradi mingi kunalipa.

Bridget Radebe – South Africa

0BEC4866-40CB-4B31-99C8-04BE5C9D91FC.jpeg

Bridget Radebe ni raia wa Afrika Kusini aliyezaliwa 1960, ni mwasisi wa kampuni kubwa la madini nchini humo liitwalo Mmakau Mining, ambalo linajihusisha na uchimbaji wa dhahabu, platinum, uranium, makaa, na kadhalika.
Ana utajiri mkubwa unaofikia Rand bil. 2.
Mafanikio hayajali jinsia — mwanamke au mwanamme.
Huyo Hajiya mwenye utajiri wa 1.4 bil tafadhali mfute kwenye list, sidhani kwa hiyo pesa kama anastahili kuandikwa ni ndogo sana, kuna wanawake wengi Africa hii wanamuacha nyumba si ajabu hata Mrs. Mengi
 
Kwa kweli hafai kuwepo humo ila ndogo sana hiyo
 
Back
Top Bottom