Mmanga au mmanga kokoHuyo mke wa kingunge mbona si mzungu anaonekana kama ni mmanga tu..
Mmanga au mmanga kokoHuyo mke wa kingunge mbona si mzungu anaonekana kama ni mmanga tu..
Jcb nae pia kaoa mxunguna Bonta naye kaoa mzungu
Vipi kuhusu mwafrika na mhindi
Naona kama game linabadilika sana siku hizi, ukiangalia na yanayotukia ktk Royal family ya Queen Elizabeth,,,, ma Prince wanakoelekea.Half caste wanabaguliwa sana nchi zilizoendele
Kimbembe ni mbongo akicross na hawa wajenga barabara na majengo marefu/meli ya matibabu
Kitoto kinatoka kimevimba macho
Niko nangojea uteuzi wakuu wa wilaya
Sued khamis kagasheki
huyu mheshimiwa pia mke wake ni mzungu? maana kuna kipindi nilisikia mke wake ni dada mmoja mbunge wa viti maalumu CCM Arusha.Sued khamis kagasheki
Mhaya bishaa.Mgiriki huyo
shhh ashafariki huyo mkuuHuyu mwigizaji MZEE kamkaa huyu babake atakuwa check norris huyu au macho yangu tu
Sarungi ni Hungary sio RussiaHuyo sarungi ni bora angeoa mmanyema tu Russia hiyo ni ya dokta shika
Siwezi sababu uzuri wa huyo wako unaujua wewe pia uzuri wa wake wa wengine wanaujua wao ndio maana wameishi hata kuzeeka wote hivyo hata wewe usikashfu wengine
Ni ulimbukeni wako kujiona bora zaidi ya wengineNi ulimbukeni tu wa ujamaa, wazee wetu walikurupuka.
Uyo kaolewa aoe amulete waishi ukukuna mtu anaitwa Chindo Man kutoka Watengwa Arusha. yeye kaoa mzungu na kahamia hukohuko uzunguni.
Uyo dada laba kimada ila mke wake mswizi hata family yake yote iko uswizi Bongo anakujaga kuchuma na kusepahuyu mheshimiwa pia mke wake ni mzungu? maana kuna kipindi nilisikia mke wake ni dada mmoja mbunge wa viti maalumu CCM Arusha.