Hawa ndiyo ma ICON wa JF jukwaa la siasa

TUNAOMBA ufafanue jina lako "mshikachuma" huku pwani ya mombasa linaleta utatanishi
Limetokana na vita ya majimaji miaka hiyo....wakiwa porini front line babu yangu alikuwa anashika chuma fulani hivi kwa hajiri ya kunolea
zana za kivita (za kijadi) kama vile sime,mapanga na mishale. So wenzie wakamuita Mshikachuma kutokana na kitengo chake

Wana bodi heshima mbele wakuu wangu!

Kuna msemo unaosema kuwa ya Mungu mpe mungu na ya Kaisari mpe kaisari au

Mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni! tofauti na hapo ww utakuwa na lako jambo. Siyo siri mwenzenu nimevutiwa na hawa watu

na nimewakubali %100 kutokana na michango yao katika jukwaa la siasa! Najua tuko au muko wengi sana kwenye jukwaa hili na wote

ni wachambuzi wazuri sana kwenye mambo ya kitaifa na hatima ya nchi yetu, lakini kuna vigezo ambavyo vimenifanya nione hawa watu

wako tofauti sana na tuliowengi kwenye jukwaa hili. Nao ni -

1. Mzee mwanakijiji

2. Mkandara

3.Pasco

4.Kiranga

5.Field Mashalls

6.Williams @New york city.com

7.EMT

8.Waberoya

9.FJM

10.Voice of Reason

11.Gurudumu

12.Paka Jimmy

13.Lizzy (huyu si sana lakini anajua kujenga hoja kwa mada husika)

14.AshaDii (huyu yuko kote kote MMU na J la siasa)

Jamani kwa upeo wangu hao watu hapo juu linapokuja swala la kuleta post yake au kuchangia post ya mtu fulani fulani

huwa wanatumia busara na hekima! yaani kwangu mimi naona hawa watu wanaupeo mkubwa sana ndani ya bongo zao.

Hakika kwa mtazamo wangu hawa ni wapembuzi yakinifu ndani ya JF jukwaa la siasa hasa pale tunapojadiri mustakhabari

wa nchi yetu na mambo ya kimataifa! Lakini baadhi ya wengi wetu humu ndani tunashindwa kupambana kwa hoja na bada

la yake tunakimbilia vijembe na matusi au neno crap. Lakini hao watu hapo juu usipime! yaani wanakujibu kwa hoja inayoji

toshereza na mwenyewe unaridhika kwa kukubari au unaingia mitini kwa aibu ya ubishi.

Ndiyo maana mimi nimeamua kuwaita hawa watu ni ma ICON wa JF jukwaa la siasa. Na kama ningekuwa mmoja kati ya Mods

basi ningependekeza hawa watu cheo chao kiwe ni - Super JF Premium member na si JF Premium member.

Au nyie wenzangu munawazungumziaje watu hawa? Kweli unaweza kuwafananisha watu hawa na akina Rejeo? Nawasilisha[/

Nao ni -

1. Mzee mwanakijiji

2. Mkandara

3.Pasco

4.Kiranga

5.Field Mashalls

6.Williams @New york city.com

7.EMT

8.Waberoya

9.FJM

10.Voice of Reason

11.Gurudumu

12.Paka Jimmy

13.Lizzy (huyu si sana lakini anajua kujenga hoja kwa mada husika)

14.AshaDii (huyu yuko kote kote MMU na J la siasa)

Kweli nabii hakubaliki nyumbani! List yote hii mie simo!?

Wana bodi heshima mbele wakuu wangu!

Kuna msemo unaosema kuwa ya Mungu mpe mungu na ya Kaisari mpe kaisari au
Mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni! tofauti na hapo ww utakuwa na lako jambo. Siyo siri mwenzenu nimevutiwa na hawa watu
na nimewakubali 0 kutokana na michango yao katika jukwaa la siasa! Najua tuko au muko wengi sana kwenye jukwaa hili na wote
ni wachambuzi wazuri sana kwenye mambo ya kitaifa na hatima ya nchi yetu, lakini kuna vigezo ambavyo vimenifanya nione hawa watu
wako tofauti sana na tuliowengi kwenye jukwaa hili. Nao ni -

1. Mzee mwanakijiji
2. Mkandara
3.Pasco
4.Kiranga
5.Field Mashalls
6.Williams @New york city.com
7.EMT
8.Waberoya
9.FJM
10.Voice of Reason
11.Gurudumu
12.Paka Jimmy
13.Lizzy (huyu si sana lakini anajua kujenga hoja kwa mada husika)
14.AshaDii (huyu yuko kote kote MMU na J la siasa)

Jamani kwa upeo wangu hao watu hapo juu linapokuja swala la kuleta post yake au kuchangia post ya mtu fulani fulani
huwa wanatumia busara na hekima! yaani kwangu mimi naona hawa watu wanaupeo mkubwa sana ndani ya bongo zao.
Hakika kwa mtazamo wangu hawa ni wapembuzi yakinifu ndani ya JF jukwaa la siasa hasa pale tunapojadiri mustakhabari
wa nchi yetu na mambo ya kimataifa! Lakini baadhi ya wengi wetu humu ndani tunashindwa kupambana kwa hoja na bada
la yake tunakimbilia vijembe na matusi au neno crap. Lakini hao watu hapo juu usipime! yaani wanakujibu kwa hoja inayoji
toshereza na mwenyewe unaridhika kwa kukubari au unaingia mitini kwa aibu ya ubishi.

Ndiyo maana mimi nimeamua kuwaita hawa watu ni ma ICON wa JF jukwaa la siasa. Na kama ningekuwa mmoja kati ya Mods
basi ningependekeza hawa watu cheo chao kiwe ni - Super JF Premium member na si JF Premium member.
Au nyie wenzangu munawazungumziaje watu hawa? Kweli unaweza kuwafananisha watu hawa na akina Rejeo? Nawasilisha
Huu mtu sijui yupo wapi?

katika watu watano unaowakubali hapo wa ID nyingine zinazoongoza kwa kupost upupu.

Mkuu hawa watu ni noma! yaani usipime hata kidogo. Hawa watu wanajua kuidadavua mada (hasa za kisiasa) na hautakuta hata siku moja wakitu
kana au kutoa vijembe....hawa watu kwa jinsi nilivyowasoma mimi wanakaulimbiu ya "hoja hujibiwa kwa hoja" na siyo neno crap kama baadhi ya wengi wetu tulivyo hapa jamvini

Nakukabaliana nawe kabisa kuwa hao watu uliowataja wanajua kujenga hoja hasa ktk mambo ya siasa.Hao jamaa post zao huwa zimeenda shule na ndo maana wakianzisha mada hupata wachangiaji wengi.Wengine wetu sisi kazi yetu ni kusoma post za watu na kisha kufaidika na michango yao.Hongera zao sana tu.

Ila nadhani kuna wengine pia umewasahau hivyo ungeomba watu wakuongezee list zaidi ya hiyo uliyoitaja.

Wanamefaidika na nini kwa huo umaarufu wao!

Hiyo post yako inaonyesha kweli wewe ni mdanganyika.....yaani mtu kuonyesha appreciation kwa watu anaowakubali pia ni nongwa:shock:...???!!!!!

Kwanza muanzisha mada hakusema kwamba hao ndugu ni maarufu vinginevyo labda neno icon katika msamiati wako lina maana hiyo moja tu ya umaarufu...icon inaweza kumaanisha model(siyo mwanamitindo), idol au hata symbol.

Jamani, wakati mwingine busara huwa ni kukaa kimya na si kubwabwaja tu au ndiyo katika zile jitihada za kuongeza idadi ya posts.

Wanamefaidika na nini kwa huo umaarufu wao!
Wewe na mimi hatujui hao watu wamefaidika na nini....ila tulio wengi hapa jamvini tunafaidika
na maoni ya hao waheshimiwa hasa zinapoibuka mada za kitaifa na kimataifa

Hiyo post yako inaonyesha kweli wewe ni mdanganyika.....yaani mtu kuonyesha appreciation kwa watu anaowakubali pia ni nongwa:shock:...???!!!!!

Kwanza muanzisha mada hakusema kwamba hao ndugu ni maarufu vinginevyo labda neno icon katika msamiati wako lina maana hiyo moja tu ya umaarufu...icon inaweza kumaanisha model(siyo mwanamitindo), idol au hata symbol.

Jamani, wakati mwingine busara huwa ni kukaa kimya na si kubwabwaja tu au ndiyo katika zile jitihada za kuongeza idadi ya posts.
Mkuu nashukuru kwa kunisaidia kumweka sawa huyo jamaa!....yaani kuna watu wananishangaza sana, lazima tukabali sisi wengine
hatuwezi kujifananisha na mtu kama Mzee mwanakijiji au Mkandara na ukizingatia sie wengine tumezaliwa juzi juzi tu hapa.

Similar Discussions

Back
Top Bottom