hawa ndiyo Al shabab | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

hawa ndiyo Al shabab

Discussion in 'Jamii Photos' started by MWANAWAVITTO, Sep 21, 2012.

 1. MWANAWAVITTO

  MWANAWAVITTO Senior Member

  #1
  Sep 21, 2012
  Joined: Dec 2, 2011
  Messages: 188
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 45
  Tazama unyama na ukatili unaofanywa na Al shabab inayosifiwa na SHEIKH ABOUD MOHAMED ROGO ALIYEUWA kwa kupigwa risasi hivi karibuni nchini Kenya
   

  Attached Files:

 2. Viol

  Viol JF-Expert Member

  #2
  Sep 21, 2012
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 18,982
  Likes Received: 1,088
  Trophy Points: 280
  Hivi hawa jamaa ni kundi kubwa au?
   
 3. Adrian Stepp

  Adrian Stepp Verified User

  #3
  Sep 21, 2012
  Joined: Jul 1, 2011
  Messages: 2,222
  Likes Received: 596
  Trophy Points: 280
  @Excellent Maswali gani hayoo!!
   
 4. Viol

  Viol JF-Expert Member

  #4
  Sep 21, 2012
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 18,982
  Likes Received: 1,088
  Trophy Points: 280
  @Tbag mi nataka kufaham uwingi wao
   
 5. tatanyengo

  tatanyengo JF-Expert Member

  #5
  Sep 21, 2012
  Joined: Mar 30, 2011
  Messages: 1,140
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 135
  Excellence wingi au uchache, ukubwa au udogo siyo hoja bali nguvu uliyonayo.
   
 6. LexAid

  LexAid JF-Expert Member

  #6
  Sep 21, 2012
  Joined: Jul 5, 2011
  Messages: 1,950
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Wako watatu tuu. uswahofie kabisa!
   
 7. BHULULU

  BHULULU JF-Expert Member

  #7
  Sep 21, 2012
  Joined: Jun 28, 2012
  Messages: 4,911
  Likes Received: 122
  Trophy Points: 160
  Hao jamaa ni hatari sana!
   
 8. Meshe

  Meshe Senior Member

  #8
  Sep 21, 2012
  Joined: Nov 14, 2011
  Messages: 103
  Likes Received: 50
  Trophy Points: 45
  Ni kundi la wacha mungu walio vitani
   
 9. St. Paka Mweusi

  St. Paka Mweusi JF-Expert Member

  #9
  Sep 21, 2012
  Joined: Sep 3, 2010
  Messages: 5,900
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 145
  Huwa nashindwa kuelewa pale ninapokuta mtanzania anawasapoti hawa jamaa tena yuko radhi hata kupigana na wengine mitaani kuwatetea hawa kelbu...
   
 10. TEMPOLALE

  TEMPOLALE JF-Expert Member

  #10
  Sep 21, 2012
  Joined: Aug 18, 2011
  Messages: 303
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Siyo kubwa sana nadhani halitofautiani sana na hili kundi linalosimamiwa na Shehe Ponda Issa Ponda
   
 11. a

  abunura Member

  #11
  Sep 21, 2012
  Joined: Aug 12, 2011
  Messages: 79
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  jamani twaona huu ndio unyama na wakati hao wako vitani, unyama ni ule tunaowafanyia ndugu zetu zeruzeru kule mwanza.
   
 12. Kigogo

  Kigogo JF-Expert Member

  #12
  Sep 21, 2012
  Joined: Dec 14, 2007
  Messages: 20,498
  Likes Received: 1,453
  Trophy Points: 280
  ni kundi dogo tu na ni wahuni hawa..na ni rahisi kuwaaangamiza kama unang'oa muhogo vile
   
 13. Philipo Kidwanga

  Philipo Kidwanga Verified User

  #13
  Sep 22, 2012
  Joined: Jul 12, 2012
  Messages: 2,063
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  ingekuwa ni rahisi wasingekuwepo,na kwa taarifa ni wabaya zaidi wakiwa mafichoni wakishambulia kwa kuvizia kuliko wakiwa kwenye vita ya ana kwa ana.
   
 14. Ndahani

  Ndahani JF-Expert Member

  #14
  Sep 22, 2012
  Joined: Jun 3, 2008
  Messages: 14,328
  Likes Received: 1,794
  Trophy Points: 280
  Kumbe jamaa alikuwa anawafagilia Shaabab?
   
 15. Utingo

  Utingo JF-Expert Member

  #15
  Sep 22, 2012
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 7,121
  Likes Received: 184
  Trophy Points: 160
  wa mbinguni au wa kuzimu?
   
 16. deni

  deni Senior Member

  #16
  Sep 22, 2012
  Joined: Aug 7, 2011
  Messages: 182
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 35
  hebu acha kumsingizia mungu, hao jamaa hawana mungu kabisa kwenye matendo yao hayo ya kibaradhuli
   
 17. BHULULU

  BHULULU JF-Expert Member

  #17
  Sep 22, 2012
  Joined: Jun 28, 2012
  Messages: 4,911
  Likes Received: 122
  Trophy Points: 160
  Alikuwa anawaita "ndugu zetu"yule sheikh alikuwa hatari sana
   
 18. Ndahani

  Ndahani JF-Expert Member

  #18
  Sep 22, 2012
  Joined: Jun 3, 2008
  Messages: 14,328
  Likes Received: 1,794
  Trophy Points: 280
  Unajua ninashangaa sana na mitazamo yetu ilivyo. Yule shekhe kwani sio msomali?
   
 19. BHULULU

  BHULULU JF-Expert Member

  #19
  Sep 22, 2012
  Joined: Jun 28, 2012
  Messages: 4,911
  Likes Received: 122
  Trophy Points: 160
  Sina uhakika na hilo, naomba Ab-Titchaz,atupe ufafanuzi kidogo
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 20. Kanyapini

  Kanyapini JF-Expert Member

  #20
  Sep 22, 2012
  Joined: Jul 25, 2012
  Messages: 299
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Tawi lao liko Jamuhuri ya watu wa Zanzibar
   
Loading...