Hawa ndio wageni wa CC!

hahahhahahah! ..........................yaani wewe TheDealer kama ndo teknik hizi unampa mdogo wangu wa moyoni Eli79 mi staki. bado mdogo huyu hajakua kiasi hich ndo kwanza yuko home anafundishwa maisha na mwenzie Mentor
 
Last edited by a moderator:
Eli79 umetumia kigezo gani kunijudge hivyo!!!!!!
Heaven on earth wakati mwingine si lazma kumwona mtu laiv ndo ujue yuko level gani kimaisha, angependa kuwa na mtu wa aina gani.. alafu ujue wewe ushamilikiwa tayari , na kwa taarifa nilizozipata.. mambo ya CC yamekuwa moo zan siriaz!
 
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:
hahahhahahah! ..........................yaani wewe TheDealer kama ndo teknik hizi unampa mdogo wangu wa moyoni Eli79 mi staki. bado mdogo huyu hajakua kiasi hich ndo kwanza yuko home anafundishwa maisha na mwenzie Mentor

Asante dada gfsonwin...wewe ndo unanipenda wala hutaki niharibikiwe wakati bado mbichi mie!
 
basi kama hivyo kam-watch Heaven on earth! naona kama moyo wake umemdondokea vile! fuatilia mjadala wao! sio haba mm mwenyewe kanitoa kidogo ili nisaidie kutengeneza miundo mbinu, sasa sijui kama alichakachua hela za mboga, mm hio hainuhusu!
 
Kakwambia nani mm na Heaven on earth tayari tushaweka miundo mbinu? umeshindwa kazi yako nini?
 
Last edited by a moderator:
Asante dada gfsonwin...wewe ndo unanipenda wala hutaki niharibikiwe wakati bado mbichi mie!

mie nakupenda sana mdogo wangu mpenzi.....................
tea usimskilize kabisa TheDealer asije akakuharibia huyu manake naskia alikuwa mvunja ndoa za watu na yuko wanted.
 
Last edited by a moderator:
Ayaaaaaaaaa, sasa Eli79 mbona unanikana tena! unamwogopa dada gfsonwin hana nouma huyo! we usijali sana, au kaka ako Mentor huwa hakufundishagi!

weweeeeeeee asiniogope nani kasema??
FYI Mentor na Eli79 wanajua tulivyolelewa nyumban hawawez kuhanganywa na wewe hata kidogo.

btw hivi siku hizi wewe ni kuhadi enh!!
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…