na ndiyo maana enzi hizo maisha alikuwa duni
akili yako pia ni duni
kaka naomba nikusaidie kidogo binadamu wa kwanza aliish kulingana na life experience thow hakwenda shule aliish kama muwindaji maisha yakaendelea kubadilika akaachana na kuwinda akaanza kufuga akaacha kuhanagaika huku na kule akaanzisha familia aka setle saaa basi kutokana na changamoto za maisha kama magonjwa majanga ya asili njaa ndipo binadamu akaanza kujifunza kuepukana nayo lakin hapa kulikuwa na try and errow nyingi sana kwa hiyi aatu walipoteza maisha sana hapo ndipo binadamu akayaweka kumbukumbu jinsi alivyoweza kukabiliana na zile changamoto alizo kutana nazo na ndipo elimu ilipo anzia
kama kuna watu hawajasoma aisee dunia ya leo watapata shida sana hatuwabagui lakin ulimwengu ushawabagua tayari