Hawa nani jamani

Hahahaa mkuu nimecheka sana hii post yako...wazazi na walezi wa zamani walikuwa strict sana aisee na hii ilisaidia kujenga nidhamu na kujituma. Sisi wa karne hii saaasa!
 
[emoji23] [emoji23] Tatizo vijana wa siku hizi mnajiongeza sana
Teh teh..Yani nilipoisoma hiyo comment nikarudi juu fasta kuicheki picha upya..Nikasema mbona wamekaa sasa huu mzigo ameuona vipi..ikabidi nirudi kwenye maziwa nako nakuta hola..Nikabaki nayalaumu macho yangu tu..Baadae ndo nikaelewa
 
Hahahaa mkuu nimecheka sana hii post yako...wazazi na walezi wa zamani walikuwa strict sana aisee na hii ilisaidia kujenga nidhamu na kujituma. Sisi wa karne hii saaasa!

mkuu kwani unataka kuninyima nn hata unihamishe kutoka karne yako hadi karne uliyoiita ya zamani???

ila umenena vema.... kazi nlizofanya mm nikiwaangalia madogo naona wanapata raha sana... wanaishi kinyanyanyanya tu
 
Teh teh..Yani nilipoisoma hiyo comment nikarudi juu fasta kuicheki picha upya..Nikasema mbona wamekaa sasa huu mzigo ameuona vipi..ikabidi nirudi kwenye maziwa nako nakuta hola..Nikabaki nayalaumu macho yangu tu..Baadae ndo nikaelewa
Hahahahaa lol
 
mkuu kwani unataka kuninyima nn hata unihamishe kutoka karne yako hadi karne uliyoiita ya zamani???

ila umenena vema.... kazi nlizofanya mm nikiwaangalia madogo naona wanapata raha sana... wanaishi kinyanyanyanya tu
Hahahaa mkuu hujanielewa...nazungumzia tofauti ya karne iliyopita tulipokuwa watoto na karne hii ambayo ni wazazi na walezi. Malezi tuliyopata sisi kwa wazazi wetu sio hayo tunayowapa watoto wetu..umenielewa??
 
Kwatuliokulia vijijini hili si jambo kubwa sana, na Ndio limetujenga sana kuwa wanaume wakweli, tumesoma shule tunazokwenda na majembe shule
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…