Hawa nani jamani

dar kama hollywood kijana zingatia hilo, dada zako wakija huku tunawafunua tu kiulaini
Unajeuri ya kuwafunua? Kama mtu mwenyew unashinda nao saloon kujichubua
 
Mkuu badilika,,,kuna MTU alikufanya vibaya kutoka DSM,,,kama huna la kukoment kausha tuu,,usiwe kama unapumuliwa wewe,,,boya wee
Tatzo mkiambiwa ukweli mnachukia wakat ukweli mmekuwa sawa na wanawake, ww hapo ninauhakika asilimia mia huyu mwanamke anakunyoosha
 
Watoto waliozaliwa mikoan hapo huyo mtoto usikute n yatima lakn hateteleki anapigana na maisha..

Lakn Mwanaume mwenye miaka 30 wa dsm mwenye degree hawez hata kujitafutia Hata lakimoja yupo kwa baba na mama kula kulala
au utakua dume zima linaenda kuiba nyumbn kwa madogo kama hao
 
aiseeee siku hazigandi na kweli kuna maendeleo yametokea chini ya CCM
 
Mkuu hata wewe wa kiume umeokota...sie kwetu tulikuwa tunafanya watoto wa kike tu
Sisi kwetu kuni ni kazi ya wanaume coz tunapanda kwenye miti kuvunja, kukata na kuchanja/kupasua kwa kutumia shoka!!!

Unashangaa kwenye kuni!!! Me nimekata majani ya ng'ombe[emoji15]. Kwetu hakukuwa na kazi ya kike na kiume.
 
Sisi kwetu kuni ni kazi ya wanaume coz tunapanda kwenye miti kuvunja, kukata na kuchanja/kupasua kwa kutumia shoka!!!

Unashangaa kwenye kuni!!! Me nimekata majani ya ng'ombe[emoji15]. Kwetu hakukuwa na kazi ya kike na kiume.
Sisi kwenye miti tulikuwa tunapanda wenyewe...kukata majani ni sawa maana ni kazi ya kiume
 
nakumbuka ukiwa unarudi nyumbani na kuni kichwani ile unafika tu unaambiwa usimame nazo kichwani... mtu anaangalia kupitia kwenye kuni kama anaona upande wa pili(can see through ) maana yake we hujaleta kuni ila umelegeza kamba tu, siku hiyo unalo maana utakuwa ulienda kucheza tu... ila kama haoni upande wa pili (cant see through) hapo ndo unapongezwa kwa kuleta kuni.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…