Hawa mbwa siwaelewi kabisaaaa

Hawa mbwa siwaelewi kabisaaaa

CharmingLady

JF-Expert Member
Joined
Apr 16, 2012
Posts
18,304
Reaction score
12,997
Habari wanajamvi,

Hapa kwangu huwa sifugi mbwa wala mfugo wowote, sasa basi walianza mbwa na mama yake wakawa wanalala mbele ya nyumba yangu

Kadri siku zinavyoendelea wanaongezeka, mpaka sasa ninavyoandika wamefika mbwa 11. Wamajilaza tu mbele ya nyumba yangu.

Kinachonishangaza hawaendi nyumba za jirani ni kwangu tu, huwa wanazunguka zunguka usiku kama kuna kitu watabweka kama hakuna wanalala tu usiku kucha, asubuhi wanaondoka. Ikifika mida ya saa 1 jioni wanaanza kuja.

Nikiwafukuza wataondoka lakini baada ya muda watarudi.

Hebu nisaidieni njia ya kuwaondoa

Wenu

CL
 
Hutaki ulinzi wa bure mkuu, maana kutekwa siku izi nje nje.
Kama wanakukera sana, nunua nyama, rosti vizuri kama unampikia mumeo aliyetoka safari, then weka pakiti kadhaa za red cat kwenye hiyo nyama, wawekee wale, wewe ingia ndani chapa usingizi, hakika baada ya siku mbili hutowaona tena.
NB. Imeandikwa USIUE.
 
Habari wanajamvi,

Hapa kwangu huwa sifugi mbwa wala mfugo wowote, sasa basi walianza mbwa na mama yake wakawa wanalala mbele ya nyumba yangu

Kadri siku zinavyoendelea wanaongezeka, mpaka sasa ninavyoandika wamefika mbwa 11. Wamajilaza tu mbele ya nyumba yangu.

Kinachonishangaza hawaendi nyumba za jirani ni kwangu tu, huwa wanazunguka zunguka usiku kama kuna kitu watabweka kama hakuna wanalala tu usiku kucha, asubuhi wanaondoka. Ikifika mida ya saa 1 jioni wanaanza kuja.

Nikiwafukuza wataondoka lakini baada ya muda watarudi.

Hebu nisaidieni njia ya kuwaondoa

Wenu

CL
Mbwa wanauwezo mkubwa wa kumtambua mtu mwema,pia mbwa katika ulimwengu wa giza hawapendwi maana huwaona wachawi,mapepo nk.
 
Habari wanajamvi,

Hapa kwangu huwa sifugi mbwa wala mfugo wowote, sasa basi walianza mbwa na mama yake wakawa wanalala mbele ya nyumba yangu

Kadri siku zinavyoendelea wanaongezeka, mpaka sasa ninavyoandika wamefika mbwa 11. Wamajilaza tu mbele ya nyumba yangu.

Kinachonishangaza hawaendi nyumba za jirani ni kwangu tu, huwa wanazunguka zunguka usiku kama kuna kitu watabweka kama hakuna wanalala tu usiku kucha, asubuhi wanaondoka. Ikifika mida ya saa 1 jioni wanaanza kuja.

Nikiwafukuza wataondoka lakini baada ya muda watarudi.

Hebu nisaidieni njia ya kuwaondoa

Wenu

CL
Hahahaaaaaaa
Hiyo ndo tabia ya mbwa, ingekuwa paka au ng'ombe au hata nguruwe wasingefanya hivyo. Inawezekana kuna chochote wanapata hapo kwako, mfano mabaki ya chakula, na wewe unacheka nao pasipo hata kuwatupia jiwe.
vumilia, mbwa ni rafiki si wabaya.

17554124_233633893778917_1461117831000747626_n.jpg
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom