Pdidy
JF-Expert Member
- Nov 22, 2007
- 57,952
- 32,627
Nilisoma mada moja jinsi panya mende mijusi wanavyoondoa baraka za nyumban nikapiga dawa nkafanikiwa.
Sasa na geti moja na wapangaji wangu wakisahau kufunga tu, unakuta mbuzi 10 ndani. Sasa hawa nao nawaondoaje mpaka nikawaza ni yale yale mapanya yamejigeuza kuwa mbuzi ama.
Wahusika nishawambia wapi na mbaya n majirani unawaza mara mbili mbili. Nafikiria kupiga dawa yale majani wanayokimbilia.