Ginner
JF-Expert Member
- May 8, 2011
- 1,459
- 1,832
Ukiachana na uwanasiasa, ni kwamba Raisi ana nafasi za kuteua wateule 10 kuwa wabunge kama ataona wanafaa ili wamsaidie kwenye majukumu yake ya kuongoza nchi.
Kipindi kilichopita, alifanikiwa kutumia nafasi zake kuteua akina kabudi, mpango phillip, balozi Mahiga etc na kuwapa nafasi za uongozi katika baraza la mawaziri.
Hawa wateule wameaminika na kufanikiwa kuhudumu kwa kipindi karibu chote alichokuwepo madarakani.
Ila sasa tunatarajia kuuanza muhula wa pili. Wateule ambao ni vipenzi raisi katika utendaji wanaona ni vyema wasimame wenyewe ili wamuachie uhuru wakutosha Raisi wa kuteua nafasi 10 tena za kupata wasaidizi.
Japo uwezekano wa wao kuteuliwa tena hata kama watakosa ubunge wa kuchaguliwa.