Course Coordinator
JF-Expert Member
- Jul 27, 2019
- 1,682
- 3,065
Watu bado hawajaridhika tuRidhikeni Na Vyeo Ninavyowapa Huwezi Kuwa Na Kila Kitu
Rais Wa Jamhuri Ya Muungano Wa Tanzania
""""""""""""""""""""""""""""""""""""""""""""""""""""""
Wa Kwanza Tukamtia Cross
Wa Pili Tukamtia Cross
Wa Tatu Tukamtia Cross
Wa Nne Tukampa!!
""""""""""""""""""""""""""""
Vijana Tafuteni Kazi Nyingine
Kama KABUDI na Ndarichako sijui wataongea nini ?Hao wote wana roho mbaya tu. Siasa hawazijui wanaparamia tu
Kabudi afadhali anaweza kidogoKama KABUDI na Ndarichako sijui wataongea nini ?
Ilitakiwa Hao Wote Waangushwe Ili Iwe Fundisho Kwa Wenye TamaaWatu bado hawajaridhika tu
Wasiwasi kila sehemu.
Ndalichako Ataongea Kiingereza Tupu, Na Kiha KidogoKabudi afadhali anaweza kidogo
Hahah hao watu kujieleza mbele za watu local ni shida tupu.Kama KABUDI na Ndarichako sijui wataongea nini ?
Una ile video ya mama Ndalichako akipiga ngeli pale kwny ujenzi kwa wachina utuwekee hapa?Uwaziri siyo ajira ya kudumu, muda wao unaisha so wana haki ya kutafuta kazi ili mradi wa vigezo, acha wivu, somA na wewe ufanye kama wao.
Uelewa wako mdogo. Mbunge ataridhika vipi wakati kazi imeshaisha?. Uwaziri hauwezi kuendelea baada ya October.Ridhikeni Na Vyeo Ninavyowapa Huwezi Kuwa Na Kila Kitu
Rais Wa Jamhuri Ya Muungano Wa Tanzania
""""""""""""""""""""""""""""""""""""""""""""""""""""""
Wa Kwanza Tukamtia Cross
Wa Pili Tukamtia Cross
Wa Tatu Tukamtia Cross
Wa Nne Tukampa!!
""""""""""""""""""""""""""""
Vijana Tafuteni Kazi Nyingine
Hivi kuna binadamu asiyekuwa mganga njaa ?As long una fight ili uendelee kuishi basi wewe pia ni mganga njaa.Wote uliyo wataja ni waganga njaa hakuna wa maana hata mmoja
Ni uchu, ulafi, uroho, ulevi na tamaa ya madaraka tu.Siasa siasani.
Siri sirini.
Siasa ni sayansi ..siasa ni sanaa.
Kuna baadhi ya mawaziri huko nyuma hatukuwaza hata siku moja kuwa watakuwa wanasiasa ...wengi katika baraza la Magufuli hawakuwahi kuwa wanasiasa hata kwa Bahati mbaya..
Mfano
1. Mama Joyce Ndalichako hajawahi kuwa mwanasiasa aliteuliwa ubunge ili ampe uwaziri ili amsaidie majukumu katika sekta ya elimu.ni mama aliyependwa na mdau yoyote wa maendleo ya elimu enzi za Kikwete ila kwa sasa amepwaya labda ile tumbua tumbua ya Magufuli imemfanya akagombee ubunge ili akitumbuliwa uwaziri abaki na ubunge .
2. Philip Mipango ni Dkt sikuwahi kumskia popote pale katika medani za siasa nae anataka ajitose kwenye ubunge...huenda sababu ni ile Ile kuwa hawana uhakika wa kudumu katika huo uwaziri tumbua tumbua ya Magu kila wakati inawatisha
3. Kabudi - huyu ndio n mwanasiasa/mwanasheria hakuwai kuwa na ndoto ya kuja kuwa mbunge ...sijui boss amemtuma au hajui anapokwenda...anataka kuwa mbunge akiwa mzee .
4.
5.
6.
Mlolongo wa hawa mawaziri walioteuliwa na Rais kuwa wabunge wa JMT badae kuwapa uwaziri kwa nini kama wamefanya kazi vizuri na Rais wasisubiri kuteuliwa tena ili kushika madaraka hayo hayo.
Nikiwa na imani kuwa MAGU ATARUDI MADARAKANI hata kwa dola.
Waachie wengine nafasi (Hasa vijana)
Wasilimie mkuuHivi kuna binadamu asiyekuwa mganga njaa ?As long una fight ili uendelee kuishi basi wewe pia ni mganga njaa.