hawa mapacha wanafurahisha

Inanambo

JF-Expert Member
Jun 26, 2011
3,985
2,770
http://l.yimg.com/bt/api/res/1.2/o_...n/p/i/bcst/yp/primetimetv/21191/132723575.jpg
moz-screenshot-1.png

Wanajamii picha hii nimeipata kwenye Yahoo News kwenye link hapo juu. imenifurahisha kwa jinsi hawa mapacha wa kichina mama yao alivyoamua kuwatambua. anasema wanafanana sana kiasi kwamba hata yeye mwenyewe anashindwa kuwatambua.
Samahani Computer yangu ilikuwa inasumbua. quad_uni.jpg
 
Back
Top Bottom