hawa madingi na vitambi,vipara na mvi huku nite club wanatafta nn?

Hahahaaaa, waliruka stage so wana'compasate tht skipped part..
 
Walichelewa kupata pesa na kujua sehem za kujiachia enzi za ujana na sasa wanalipizia!
 
Ulichokifuata ww ndo walichofuata pia.....kwani katiba inasemaje kuhusu starehe??
 
Usitishike na vitambi na vipara ni maumbile ya watoto wenzio wa siku hizi tena ni wadogo zako wanakushangaa wewe wanakuona kibabu eti umekomaa unafata nini night club
 
Usitishike na vitambi na vipara ni maumbile ya watoto wenzio wa siku hizi tena ni wadogo zako wanakushangaa wewe wanakuona kibabu eti umekomaa unafata nini night club

hahahaaa..umewatetea,ila cdhani kama nahitaji kozi au uzoefu kujua mzee na mtoto aisee...
 
Ulichokifuata ww ndo walichofuata pia.....kwani katiba inasemaje kuhusu starehe??

hao wanatubania bana...huu ni wakat wetu...
enzi zao zimepitaaa..
sasa unakuta mtu kama dingi yangu anabambia kitu kibichiii...af wanajua kubana
mwa mwi..
 
wengine wana vipara na vitambi japo vijana labda ni vya ukoo so usishangae
 
Back
Top Bottom