hawa madingi na vitambi,vipara na mvi huku nite club wanatafta nn?

Huwa tunakwenda kurenew ujana, last week nilipita pale Maisha Club VIP, nikashuhudia stripes show, ujana ulinirudia nikaiona Tanzania kama ulaya!, next time nimepanga nitaulizia service ya lap dance na pia wanamaliziaga na kukurushia nanii wakati wanamaliza!. Huko vijana hamkuwezi!.
 
mje basi na wake zenu..
ikiwezekana na first born wako...
assuming ana 18yrz
...af mnakuaga mbele kinoma,kama hapo VIP utakuta lizee ndo limeinamia krb na strippers,na udenda unamtoka.
 
hehehe ndugu wanaseme iv wazee wameanzia chalinze uko hapa daslam kila mtu kijana atiii!
 
night club ni kama uwanja wa soka na ili mawindo yawe ya ushindani lazima kuwe na maveterani hao madingi ndo malegend sasa!!!nachowakubali madingi wakiwa clubs maneno machache vitendo vingi wale kazi ni moja tu kwakuwa hawana pumzi ya kushindana na vijana hao wanakata mpunga na kuondoka na mzigo kama kijana hujajipanga unaishia kuuza sura kaunta!big up sana wazee muendao clubs mnanipa challenges na sometimes mnanisaidia kulipa bills bila kujijua ila nimeanza kuwaogopa nasikia siku hizi game zenu sometimes ni zaidi ya vijana!!!!ila chonde chonde AIDS KILLS
 
ubaguzi upo wa aina nyingi.
Nilioujua ni wa rangi, kabila, na dini.

Kumbe na ubaguzi wa umri umeanza?
 
ubaguzi upo wa aina nyingi.
Nilioujua ni wa rangi, kabila, na dini.

Kumbe na ubaguzi wa umri umeanza?

kongosho co ubaguzi bana...
maisha yana stages...
huo ndio utaratibu...
kuna mambo nikifanya kwa umri wangu watu watanishangaa...
vip ukimwona dingi yako kavaa SUPRA??
 
Back
Top Bottom