Hawa jamaa wanakula, watamaliza huu msosi?

ndiyomkuusana

JF-Expert Member
Aug 2, 2012
666
421
looo.jpg
 
Huu mbona ni cha mtoto? Siku moja baada ya kupiga zoezi la kupalilia shamba, nilifakamia ugali nusu ya hot pot na hapo nilikuwa bado ni teenager!
 
Kuna aliyenisimulia, rafiki yake wa karibu alimuomba awe mshenga, binti ametoka Usukumani huko, basi walijiandaa kutoka Dar wanapeleka barua, wamefika wageni wamepokelewa, jogoo wawili walichinjwa, nyama imekuja bakuli mbili ugali design hiyo hapo juu, na mlenda. Wamejipiga waliposhiba ilibidi waseme, wenyeji walicheka sana waliulizwa, "sasa nyinyi mnataka mke mtamuweza kweli kama kula tu hamuwezi?"
 
Wewe unafikiri ni wanaume wa dar hao wenzio wanakula akitoka hapo scania ya mpunga imejaa mzigo inapigwa gia mpaka dar wakati wa kutoka dar wanaemea mizigo ya kutosha akifika kijjini anashusha mzigo anapumzika kidogo anawasha trekta anaenda shamba kulima sasa mwanaume wa dar yeye anaoga anapaka mkorogo na powder anaenda mgahawani anaagiza chips na soda akitoka hapo anaenda saloon kutengeneza kucha h
 
Kuna aliyenisimulia, rafiki yake wa karibu alimuomba awe mshenga, binti ametoka Usukumani huko, basi walijiandaa kutoka Dar wanapeleka barua, wamefika wageni wamepokelewa, jogoo wawili walichinjwa, nyama imekuja bakuli mbili ugali design hiyo hapo juu, na mlenda. Wamejipiga waliposhiba ilibidi waseme, wenyeji walicheka sana waliulizwa, "sasa nyinyi mnataka mke mtamuweza kweli kama kula tu hamuwezi?"
Kwetu kawaida sana hayo makitu.
 
Back
Top Bottom