miss chagga
JF-Expert Member
- Jun 7, 2013
- 57,805
- 49,109
Ulikuwa wapi beibe?Miss you soooo toooo veeeeeery much beeeeeib..
Ulikuwa wapi beibe?Miss you soooo toooo veeeeeery much beeeeeib..
Nipo wangu mikopo nimeona njifche tu mabasi yangu siumeona nimetngaza kuuza.Ulikuwa wapi beibe?
Usiuze nitafute tutengeneze mchezo mbona issue ndogo sanaNipo wangu mikopo nimeona njifche tu mabasi yangu siumeona nimetngaza kuuza.
Tcra wanatrack... Uje kempisky 1450hrs n we tok beeeib..Usiuze nitafute tutengeneze mchezo mbona issue ndogo sana
Haya beibe nitakujaTcra wanatrack... Uje kempisky 1450hrs n we tok beeeib..
Wangekua wanaume wa Dar. tungejiuliza lkn hao ni wamkoa sina wasiwasi wanamaliza
Natamani kujua iliishaje (nimecheka sana )Kuna aliyenisimulia, rafiki yake wa karibu alimuomba awe mshenga, binti ametoka Usukumani huko, basi walijiandaa kutoka Dar wanapeleka barua, wamefika wageni wamepokelewa, jogoo wawili walichinjwa, nyama imekuja bakuli mbili ugali design hiyo hapo juu, na mlenda. Wamejipiga waliposhiba ilibidi waseme, wenyeji walicheka sana waliulizwa, "sasa nyinyi mnataka mke mtamuweza kweli kama kula tu hamuwezi?"
Ndo ufafanuzi huu?input and output vinafanya kazi pamoja
Ndiyo mkuuNdo ufafanuzi huu?
Hapana mkuu wangu,hapo ulichofanya ni kuongeza misamiati tu.Ndiyo mkuu
Input ma chakula Hayo output ni sewageHapana mkuu wangu,hapo ulichofanya ni kuongeza misamiati tu.
Hapo eleza input ni nini na output ni nini uki base kwenye picha hapo juu ya wahusika.
Wakurya hawa