Hawa jamaa wanakula, watamaliza huu msosi?

Hawa jamaa wanakula, watamaliza huu msosi?

Hawa jamaa wapo kigamboni huko mji mwema,wanakula balaa yaani wakianza kunywa ze lager,usiombe kukutwa
 
Ajajajaaaaaaaa mimi huyo kuku tu,halafu anaonekana ni wa kienyeji.
Dah [emoji39] [emoji39] [emoji39]
 
Hawa jamaa wapo kigamboni huko mji mwema,wanakula balaa yaani wakianza kunywa ze lager,usiombe kukutwa
Natamani ningekuwa kwenye company yao,ni mwendo wa kula tu [emoji39]
 
Back
Top Bottom