The Sheriff
JF-Expert Member
- Oct 10, 2019
- 617
- 1,801
Nafikiri kuna wa upinzani hapo kama hakuna atatafutwa baadaeYaani CCM na wingi wao wameshindwa kumpa Addo Shaibu Katibu mkuu wa CHAMA mshirika wao ACT?
Kweli CCM haina urafiki hata kidogo na hili lazima liwe fundisho kwa mzee wa Ngogwe Zitto kuwa tamaa mbele mauti nyuma.
Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
Ansar yupo vizuri nilihudhuria kongamano moja UD yeye aliongea alionyesha yupo vizuri kichwaniWengi hapo sijuwi kama wataweza debate na wakenya, rwanda, gandas
Ova
Unakijua kinge au unakisikia?Hawa wawe tofauti na kina Kimbisa, Makongoro maana wabunge wa EALA toka Uganda, Kenya na Rwanda tunawasikia wakichangia hoja lakini wetu wa kutoka Tanzania wamekuwa mabubu .
Sasa kama wanachaguliwa na Comedian kama hawa unategemea nini?Hawa wawe tofauti na kina Kimbisa, Makongoro maana wabunge wa EALA toka Uganda, Kenya na Rwanda tunawasikia wakichangia hoja lakini wetu wa kutoka Tanzania wamekuwa mabubu .
Binafsi siwezi kuwakilishwa na watu kama hawa,labda nyinyi wenzanguSasa kama wanachaguliwa na Comedian kama hawa unategemea nini?View attachment 2364888
Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
Kenge huwa hasikiki hadi damu imtoke puaniNi wakati sasa kwa ndugu yetu Pascal Mayalla kukubali kwamba, CCM ina wenyewe! Na yeye si mmoja wao.
Paskali wapi?View attachment 2364755
- Ndg. Angela Charles Kizigha
- Ndg. Nadra Juma Mohamed
- Dkt. Shogo Richard Mlozi
- Dkt. Abdullah Hasnu Makame
- Ndg. Machano Ali Machano
- Ndg. Mashaka Halfan Ngole
- Ndg. Ansar Abubakar Kachwamba
- Ndg. James Kinyasi Millya
- Dkt. Ngwaru Jumanne Maghembe
MLOZI kikwetu ni.........View attachment 2364755
- Ndg. Angela Charles Kizigha
- Ndg. Nadra Juma Mohamed
- Dkt. Shogo Richard Mlozi
- Dkt. Abdullah Hasnu Makame
- Ndg. Machano Ali Machano
- Ndg. Mashaka Halfan Ngole
- Ndg. Ansar Abubakar Kachwamba
- Ndg. James Kinyasi Millya
- Dkt. Ngwaru Jumanne Maghembe
MLOZI kikwetu ni.........
Alikatwa kichwa kwenye hatua za mwanzo kabisa na yule mdada aliyemfanyia figisu enzi zile alipokuwa ni mtangazaji na mwandishi nguli wa habari.Paskali wapi?
Amechaguliwaje sasa, au chama Iko kina mahusiano na watu hao!!!!Mchawi