Hawa dreamwork pictures ni hatari sana

Kibongo bongo ushindani kwenye tasnia ya Muziki kuna D na Harmonize (Alikiba thrown away) Kwenye tasnia ya Vyombo vya habari kuna Wasafi Media na Clouds media.

Ila huko Dunia kwenye tasnia ya Ya filamu (Hollywood ) Ushindani mkubwa upo kwa Marvels Cinematic Universe (MCU) na DCU. Ila kwa upande wa Animation huko kuna Disney Animation studios ikichuana na watengenezaji wengine kama Pixal Animation,Dreamwork Pictures etc...

Upande wangu mimi nawakubali zaidi Dreamwork Pictures kuliko Disney coz naona Animation zao zina content za kitoto.
Baadhi ya animation za disney ni kama Moana,Frozen,Ralph Break internet, Zootopia,Lion king, Cinderela etc etc (Wameanza kutengeneza Anime movies toka miaka 1940s)

Kama umeangalia baadhi ya anime za Dreamwork utakubaliana nami kua hawa jamaa wako vizuri,kuanzia stori,mpaka mwonekano.
Mfano ukiangalia Puss in Boots yaani utaipenda Antonio "BadAss" Banderas alivaa uhusika vizuri sana na kuipendezesha...Yaani haichoshi kutizama hafu inachekesha hatari.

Au uangalie Boss Baby hii lazima uipende ukiona vituko vya Boss mtoto aliyetumwa kutoka mbinguni..Kuna Penguine of Madagascar ukutane na Baron Cohen kakuwekea sauti ya King Julián.

Baadhi ya muvi zao bira ni kama
  • Shrek zote
  • Penguine of Madagascar
  • Boss baby
  • The Croods (may 5 mwaka kesho kuna mwendelezo )
  • How to Train Your Dragon zote 3
  • Kung fu Panda zote
  • Chiken Run
  • Nk nk
Ila hakuna Animation niliyeona nikacheka sana kama Rango.. yani John Depp kaipatia sana kucheza. Hasa ukiangalia zile scene za jangwani na Bar. Yaani kanachekesha haka kinyonga. Mwenye Animation nzuri aniambie nizicheki Muvi zimenichosha!
Pixar inamilikiwa na Disney pia. Walinunua
 
Nikiwa na stress Rango huzimaliza Zote...
Rangoo rangooo oooh oooh
Hahahaaa Naipenda sana hii na Puss in Boots..
Kama pale kalikimbizwa kakaingia chooni ndege akamfuta afu kakawa kanavuta Toilet paper kwa uwoga yaaani niliecha mbaka basi...

Kule jangwani napo kanasema
No nooo I don't know you.. Chura akakamatwa akamwambia You're the son of Biiiiiiiiiiiit... lindege likalie fiiiiiii
 
Nikiwa na stress Rango huzimaliza Zote...
Rangoo rangooo oooh oooh
Rango ninayoo hadi kwenye simuu. na ukubwa wote huu
Screenshot_20191022-112743.jpeg
 
Kibongo bongo ushindani kwenye tasnia ya Muziki kuna D na Harmonize (Alikiba thrown away) Kwenye tasnia ya Vyombo vya habari kuna Wasafi Media na Clouds media.

Ila huko Dunia kwenye tasnia ya Ya filamu (Hollywood ) Ushindani mkubwa upo kwa Marvels Cinematic Universe (MCU) na DCU. Ila kwa upande wa Animation huko kuna Disney Animation studios ikichuana na watengenezaji wengine kama Pixal Animation,Dreamwork Pictures etc...

Upande wangu mimi nawakubali zaidi Dreamwork Pictures kuliko Disney coz naona Animation zao zina content za kitoto.
Baadhi ya animation za disney ni kama Moana,Frozen,Ralph Break internet, Zootopia,Lion king, Cinderela etc etc (Wameanza kutengeneza Anime movies toka miaka 1940s)

Kama umeangalia baadhi ya anime za Dreamwork utakubaliana nami kua hawa jamaa wako vizuri,kuanzia stori,mpaka mwonekano.
Mfano ukiangalia Puss in Boots yaani utaipenda Antonio "BadAss" Banderas alivaa uhusika vizuri sana na kuipendezesha...Yaani haichoshi kutizama hafu inachekesha hatari.

Au uangalie Boss Baby hii lazima uipende ukiona vituko vya Boss mtoto aliyetumwa kutoka mbinguni..Kuna Penguine of Madagascar ukutane na Baron Cohen kakuwekea sauti ya King Julián.

Baadhi ya muvi zao bira ni kama
  • Shrek zote
  • Penguine of Madagascar
  • Boss baby
  • The Croods (may 5 mwaka kesho kuna mwendelezo )
  • How to Train Your Dragon zote 3
  • Kung fu Panda zote
  • Chiken Run
  • Nk nk
Ila hakuna Animation niliyeona nikacheka sana kama Rango.. yani John Depp kaipatia sana kucheza. Hasa ukiangalia zile scene za jangwani na Bar. Yaani kanachekesha haka kinyonga. Mwenye Animation nzuri aniambie nizicheki Muvi zimenichosha!

Itafute THE CROODS
 
WAKUU HEBU NITAJIENI ANIMATION 10 KALII

NATAKA NI DOWNLOAD. PLEASE PLEASE.

MAANA NAONA KAMA KUNA WATU WAMENIZIDI
 
WAKUU HEBU NITAJIENI ANIMATION 10 KALII

NATAKA NI DOWNLOAD. PLEASE PLEASE.

MAANA NAONA KAMA KUNA WATU WAMENIZIDI
  • Rango
  • Moana
  • Coco
  • Minois
  • Despicable me
  • Puss in boots
  • Shrek
  • How to Train Your Dragon
  • The croods
  • Zootopia
  • Madagascar (Penguins)
  • Baby boss
  • Finding nemo
  • Rango
 
Back
Top Bottom