Hawa dreamwork pictures ni hatari sana

Jaribu kuweka cover zake mkuu... Animation napenda sana
Kama hujazicheki jaribu kuziangalia hizo ni animation kali sana sio za kitoto toto

- Ronal the barbarian

images%20(1).jpg
download.jpg
images.jpg
[/IMG]

- The Bad cat

images%20(2).jpg
images%20(3).jpg

- 9

images%20(4).jpg
images%20(6).jpg
images%20(5).jpg
 
Hivi kwa mwaka huu 2020 hakuna katuni mpya zilizotolewa maana mimi ni mpenzi mkubwa wa katuni sana zote na baadhi nimeshaziona nataka mwaka huu
 
Hii muvi inaitwa Spirit Untamed kutoka dreamworks imetoka leo
Paula Paul unaweza kuidaka huko uliko, sipo interested nayo kabisa nasubiria Boss Baby family business July.

Ila kutengeneza animation ni kazi sana kama hapo wanatumia kuchora muvi nzima. Ndani ya sekunde moja huonyeshwa picha 24. Je muvi yeneye masaa 1:30 inatumia picha ngapi???
View attachment 1808122

View attachment 1808129
Tuwekeze kwenye elimu tu mdau hakuna janja janja hapo..........
 
Hapana napenda zaidi screenwriting kua animator sijafikiria sana.
Animation ili iwe logical lazima ifuate equation hizi
v=v0+at. v = v 0 + at.
d=12(v0+v)t d = 1 2 ( v 0 + v ) t or alternatively vaverage=dt. v average = d t.
d=v0t+(at22)
v2=v20+2ad.
 
Dah! we jamaa ushaharibu mindset zetu
 
Hii muvi inaitwa Spirit Untamed kutoka dreamworks imetoka leo
Paula Paul unaweza kuidaka huko uliko, sipo interested nayo kabisa nasubiria Boss Baby family business July.

Ila kutengeneza animation ni kazi sana kama hapo wanatumia kuchora muvi nzima. Ndani ya sekunde moja huonyeshwa picha 24. Je muvi yeneye masaa 1:30 inatumia picha ngapi???
View attachment 1808122

View attachment 1808129
Ni kazi kweli. Kipande cha dakika 2 kinaweza kuchukua hata miezi.
Richard Williams aliandika kitabu cha "The Animator's Survival Kit" ni kizuri kwa kuanzia kujifunza.
 
Attachments

  • The Animators Survival Kit by Richard Williams (z-lib.org).pdf
    35 MB · Views: 4
Hapana napenda zaidi screenwriting kua animator sijafikiria sana.
Animation ili iwe logical lazima ifuate equation hizi
v=v0+at. v = v 0 + at.
d=12(v0+v)t d = 1 2 ( v 0 + v ) t or alternatively vaverage=dt. v average = d t.
d=v0t+(at22)
v2=v20+2ad.
Nowdays animation ni rahisi sana unlike miaka ya zamani na kuna software kibao ambazo zimerahisisha process. Hakuna haja ya kuchora picha 24 kila sekunde, bali unakua na 2D au 3D characters ambao software inakuruhusu kuwa animate.
It's complicated but not that complicated!
 
Back
Top Bottom