Have a nice...

Have a nice...

KARIA

JF-Expert Member
Joined
Jan 15, 2011
Posts
717
Reaction score
473
1947401.jpg
 
huyu wa mbele kaamua kuoga kilevi!
Na huyu wa nyuma hapa

attachment.php

Afu leo unamsoma cacico? Naona anagonga like tu hata kunisalimia hataki.....damn!
Mwambie ananiudhi eti.
Nikikasiriiiikaaaaa!!
 
Last edited by a moderator:
Na huyu wa nyuma hapa

attachment.php

Afu leo unamsoma cacico? Naona anagonga like tu hata kunisalimia hataki.....damn!
Mwambie ananiudhi eti.
Nikikasiriiiikaaaaa!!

cacico mbona unamuudhi Babu yangu Asprin? Kwa nini lakini! Sipendi kizee chetu kikasirike, maana hasira zake huchukua muda mrefu mno sio chini ya mwezi!
 
Huyu anatafuta mchwa kwenye tundu la kichuguu!
 
Tena mwambie kabisa kila abiria achunge mzigo wake.....

attachment.php

cacico toka mafichoni Babu ataondoka! shauri yako akienda ubanda akirudi yuko bwii kutakuwa hakulaliki! Njoo umbembeleze atulize munkari!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom