Haunted houses zipo, chukua hatua

jamani msaada hounted house arusha Sina kodi niwe hata Nina ilinda tu, hata miezi 6 najitafuta wazeeee nilikuwa na fedha now nimeshuka sana Sina kitu kabisa mimi huwa hazinisumbui kabisa hizo mauza uza
 
Sio kwa kina BIG kweli? 😂
 
Hayo mambo yaskie tu,
Niliishi nyumba moja maeneo ya airport dodoma,sitosahau tuliyokua tunashuhudia,
Kubwa zaid tukahamia nyumba iliyokua haiishi mtu kwa kitambo kirefu maili mbili ikawa changamoto mno, mauza uza kila kukicha
Maili mbili hasa kwa mudi ndo mambo yao hayo
 
Ipo nyumba Fran ipo kibaha Kwa Mathias ni barabaran kabisa, aseee hiyo nyumba siku ya pili asubuhi baada ya kuhamia hapo tukakuta sufuria Ina damu hrf haijulikan imetoka wapi, ktk kushangaa na kuhoji majiran gafla ikapotea, sas ikabid tuwaze swala la kuhama baada mbaya siku hiyo tulikosa nyumba tukasema tujikaze tulale japo usiku huo,, bahat mbaya umeme ulikatika asee tulichokiona ni nusu mtu yaan kiuno hakionekani kumbe michezo yote baba mwenye nyumba anajua na yeye aliwahi kuikimbia nyumba yake! Siku iliyofata ni kulala gest mpaka tulipopata nyumba nyingine
 
Hivi bado ana mabasi?
 
Kuna nyumba moja iko Kinampanda karibu na chuo cha ualimu. Hiyo nyumba imevunjwa vioo na hamna mtu anakaa hapo. Tulipo uliza kuhusu hiyo nyumba tulaambiwa siku moja yaliryshwa mawe kwenye hiyo nyumba yakapasua vioo vyote . Waliokuwa wanarusha mawe hawakuwa wanaonekana.
 
Hii ishawahi nitokea nilipanga nyumba buguruni kumbe mwenye nyumba na dalali ndo michezo yao ikifika usiku full kuwashwa mara panya walie hovyo,mara umwagiwe maji.

Nilichokifanya nilivumilia kukaa siku tatu then nikafunga zangu mlango nikaondoka baada kama ya week mwenye nyumba akawa anauliza niko wapi jibu ni moja tu nipo.

Hali ya kuulizwa iliendelea hvyo mpaka akanipeleka kwa mwenyekiti hataki chumba chake kifungwe kuwa yeye alipangisha mto na syo store ya kutunza vitu.

Mwisho wa siku alirudsha kodi yangu ya miez 3 ilobakia ndo nkatoa vitu vyangu maana ilikuwa niviache vyote miez 6 mpka kodi yangu iishe
 
Hao watu wazito ni wachawi mfano wake hakuna usijidanganye
 
Ni muda kama uko tayari nitafute
 
Kuna jamaa alinunua nyumba kule kwa wagosi Tanga ,lakini nyumba ile iliuzwa na bank baada ya mgosi kushindwa kulipa bank .
Bwana bwana yule mgosi kumbe aliacha jini mle ndani acha bwana mnunuzi apigwe MBUPU kila siku machine machine anawekwa style kama za Giggy money akaona aaaaaaaah bhaghosha ntapoteza ubingwa kabisa akatimua .
 
Chuma cha chuma
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…