King faisal
JF-Expert Member
- Jun 7, 2022
- 883
- 2,361
Wew kweli unaongozwa na mahaba, mpaka umeingiza udini wakati mie sio muislamu 😁 dishi lako lishayumba kitambo sana. hivyo siku ukibadilisha housing ya dishi lako ndio utaanza kujua yaliyo nyuma ya pazia kuhusu wayahudi feki wa kizungu, pamoja na siasa za mashariki ya kati.MTAWATENGA NYINYI NA ALLAH WENU ILA SISI NA YEHOVA.....HATUWEZI KUWATENGA