Hatutanyamaza mpaka wakina Polepole waachiliwe

Hatutanyamaza mpaka wakina Polepole waachiliwe

Kesho tutakinukisha mpaka wakina polepole waachiliwe hakuna kufungua huduma zozote tutasimamisha nchi hatutarudi nyuma
Mange kimambi Lete matako tz na wewe wakulipue, usidanganye wananchi ili wakafe
 
Naomba kufahamu hali ya polepole Kwa ajuaye.
 
sisi tupo tayari kufa kwaajiri ya watanzania hatuta utunuku ushenzi hatutakubali

Watu wamekufa wengine wametekwa hadi hivi leo hatuwezi kurudi kwenye huduma nikuingia barabarani
Mbona hujafa Sasa sisi tunataka ufe
 
Mnawaibia watu kwa mgongo wa maandamano JARIBUNI MUONE 🔥
OLE WENU
 
Back
Top Bottom