Una hoja naomba usikilizwe... Ila Kaka jambazi mkitukaba msituumize chukueni hela na simu mtuache salama ili tukawatafutie hela zingine tukiwa na nguvu

Wenye shibe amkumbuki mwenye njaa.nipo wilaya ya moja wanawake wanajiuza hatar.
Nilipiga story na mmoja nikamuliza unalipwa mshahara akasema amna analipwa elf 2 akimaliza crate na linaisha siku 3 na msos boss anawapa Unga na dagaa. Alafu ni wazur hadi nilichoka.
Unakuta mwenzak ni maskini kama wewe..
Anapambana weeeh mapaka anajitahidi kupata chochote kitu wewe unaenda unamkaba alafu unasema ""sasa utafanyaje"" its not fair